Kwanza kabisa nimekuwepo Israel miaka ya 1977 na 1978 niliwaona waarabu wakiwanyanyasa sana watu weusi wao wanawapa “Al Beed” waafrika kutoka Afrika kaskazini walikuwa wakiwanyanyasa sana kwa kuwafanya watumwa nilikuwa masomoni lakini vitendo vyao vilikuwa vinaniuma sana kwa kufanya watu wengine watumwa.Echolima we kila siku nyuzi zako NI za kuwananga Tu Palestinian na kuwasifu Israel kwani walikufanyia kitu gani hutakisahau walikuulia ndugu yako hawa magaidi WA kihamas?Niko interested kujua