tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Anachokifanya ni kuwadanganya kwa sababu ya umaskini.Utopooo tulia Barba anajua anachofanya
Simba imeshuka na pipa kwenye uwanja wa Oliver Tambo airport hayo maeneo panaitwa Kemtorn park
Kutoka kemtorn park mpaka Sandton (Uzunguni)
Hayo maisha mazuri si wamelipia mkuu?Siwashwi, nataka mjuwe kule kuna genge la matapeli.
Simba iko kwenye maisha mazuri kule kuliko wenyeji wao, ukweli ndio huo.
Muulize mtu yeyote anayelijuwa vizuri Jiji la Johannesburg Sandton ni wapi? Anaweza kukaa hata miaka 10 asikanyage Sandton, hapo ndipo wamefikia Simba.
Usilishwe matango pori, naamini hata wachezaji wa Simba wanatamani mechi iwe siku 10 zijazo.
Twende sasa, kutoka Kempton park kwenda Sandton ni wapi utasimama foleni au kusubili robot ziruhusu?Kemtorn park ❌
Kempton park✅
Hawajanikera, nataka mashabiki mbumbumbu wasiojuwa lolote wasidanganywe, Simba ina bonge la good time South Africa kuliko wanavyotaka kudanganya mashabiki, hili ndilo nalikataa na nimeona nitumie jukwaa la JF linasomwa na wengi propaganda hizi haziwezi kufanya kazi.Hayo maisha mazuri si wamelipia mkuu?
Ni kama vile wamekukera, maana juzi ulikuwa unaandika mengine humu kwamba simba watakiona cha moto kutoka kwa mashabiki.....
Escort ni lazima na nadhani ni utaratibu wa CAF sio suala la kusema hapa ni salama hapahitaji Escort.
Mkuu Sandton ni wapi wewe uliyeishi Sandton?Siwashwi, nataka mjuwe kule kuna genge la matapeli.
Simba iko kwenye maisha mazuri kule kuliko wenyeji wao, ukweli ndio huo.
Muulize mtu yeyote anayelijuwa vizuri Jiji la Johannesburg Sandton ni wapi? Anaweza kukaa hata miaka 10 asikanyage Sandton, hapo ndipo wamefikia Simba.
Usilishwe matango pori, naamini hata wachezaji wa Simba wanatamani mechi iwe siku 10 zijazo.
Sandton ipo Gauteng Province.Mkuu Sandton ni wapi wewe uliyeishi Sandton?
Mbumbumbu limekasirika hatarSasa wwewe kinyeo unayejifanya mjuzi umeshindwa kusoma hata article ya CAf niliyokuwekea hapo ? we hadithia yote yooote ukimaliza uhadithie hata ulivyokuwa unafirigiswa narudie tena soma hiyo article ya CAF that is if unajua hata kusoma , mabwana zenu wa kizulu walipokelewa na maafisa wa simba na ubalozi wao na maafisa wa simba walihakikisha wamewasindikiza hadi huko Ramda hotel walipochagua wao
Sababu ya wewe kutetea kwamba wasipewe security na host wao ni ni nini? embu kuwa mwelewa bwana unakuwa kama haukanyagwi wakati unakanyagwa vizuri tu hadi ubongo una kinyesi?
Haya eheee ikawaje sasa Tyson? aisee we jamaa inaonekana tajiri sana [emoji16][emoji28][emoji23] nyoko nyoko nyooko kama litoto vile eti simba wachezaji hawatamani kuondoka sandton wake hapo siku 10 unadhani kila mtu limbukeni kama wewe si uhakikishe li team lenu linafika hata robo fainali wawe wana enjoy hayo masiha unayosema, mmejaa chuki hata mkinya kinyesi chenu cha njano na kijani kinanuka kama sumu
View attachment 2197104
Mafanikio ni kombe we koloKinachokusumbua ni mafanikio ya simba na sio upotoshaji kama unavyodai
Ushamba ni kufurahia kudanganywa na mchepuko wa mhindiAndiko limejaa ushamba na ulimbukeni.
Tupe maelezo ya kutosha mkuu Ili tukifanikiwa kwenda bondeni tukapajue.Sandton ipo Gauteng Province.
Wanagoodtime sababu wapovizuri kiuchumi....Hawajanikera, nataka mashabiki mbumbumbu wasiojuwa lolote wasidanganywe, Simba ina bonge la good time South Africa kuliko wanavyotaka kudanganya mashabiki, hili ndilo nalikataa na nimeona nitumie jukwaa la JF linasomwa na wengi propaganda hizi haziwezi kufanya kazi.
Vita na Orlando ipo uwanjani na si nje ya uwanja huo ndio ukweli na Watanzania wasidanganywe.