Viongozi wa Simba hasa Barbara wasidhani kila Mtanzania ni mbumbumbu au hatujatembea na hatujuwi lolote.

Kwenye huu uzi Makolo wamechachamaa baada ya kuambiwa ukweli na kupewa darasa kuhusu S.A
 
Wanagoodtime sababu wapovizuri kiuchumi....
Na ile kusema hawajapewa escort ilikuwa ni mockery ndio maana unaona kuna Emoji mbele....
Hapana hawajapewaescort kweli hata kwenye mazoezi wamenyimwa kabisa ingawa articles za CAF zina demand hivyo hakuna mahala CAf wamesema barabara za south africa ni nzuri team isipewe escort na kuhakikishiwa safety

Sarcasm yote hiyo hapo ni kutokan ana ile kauli kwamba mkija kwetu tutawapokea vizuri na kuwaonyesha south african hospitality
 
Kwenye huu uzi Makolo wamechachamaa baada ya kuambiwa ukweli na kupewa darasa kuhusu S.A
Naona umefurahi kupewa darasa kuhusu SA hongera sana kwa hiyo umejifunza nini? wachezaji wa simba hawatamani kuondoka sandton wanakula good time? kingine ? umejifunza kwamba sheria za CAf haziihusu south africa nchi ambayo kufa ni nje nje na kutekwa ni issue ndogo...jipige kifuani sema mimi ni boya sana
 
Ushamba ni kufurahia kudanganywa na mchepuko wa mhindi
Bora huyo aisee kuliko kudanganywa na michepuko ya kiume ya mwarabu, anaifirigisa kwelikweli ikija kuongea na waandishi inadanganya vitu vya ajabuajabu na utopwinyo wanashangilia
 
Mbumbumbu katika ubora wako
 
Lengo la mleta maada ni watu wajue kuwa amewahi kufika SA, ama kweli ushamba ni mzigo.

Sehemu ambayo hata magari ya transit yanafika nayo ni ya kujekwezea? Siku ukifanya safari ya masaa 12 upo hewani utakuja kunya sana humu.
 
Ndiyo lengo lake kila mada kuhusu simba lazima ajisifu alikuwa jO burg, nchi ambayo mtu anafika hata kwa bus na mateja ya mbagala na ilala yamejaa huko, mbaya zaidi kuna watu wanaliamini kwamba articles za CAf kuhusu safety ya visiting teams hazi apply huko south africa
 
Lengo la mleta maada ni watu wajue kuwa amewahi kufika SA, ama kweli ushamba ni mzigo.

Sehemu ambayo hata magari ya transit yanafika nayo ni ya kujekwezea? Siku ukifanya safari ya masaa 12 upo hewani utakuja kunya sana humu.
Mbumbumbu mwingine huyu
 
Kwamba TUPAC was short dead sio? Ndomaana tunakwambia wewe ni kiazi tu😂

Short = shot
Kemtorn = Kempton
 
Lengo la mleta maada ni watu wajue kuwa amewahi kufika SA, ama kweli ushamba ni mzigo.

Sehemu ambayo hata magari ya transit yanafika nayo ni ya kujekwezea? Siku ukifanya safari ya masaa 12 upo hewani utakuja kunya sana humu.
ukimsoma kwa makini uyu mleta mada utagundua ni mshamba tu.tena mshamba wa kina kirefu cha bahari.
 
Ninachofahamu Simba huwa wanafikia sehemu inaitwa Petra Guest House ipo maeneo ya New Johannesburg ambako kutoka Airport hadi hapo wanapofikia sio mbali na hakuna msongamano wowote wa magari.
 
Unaifahamu kazi ya escort?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…