Viongozi wa Simba hasa Barbara wasidhani kila Mtanzania ni mbumbumbu au hatujatembea na hatujuwi lolote.

Hii mechi ya Simba ya kesho inavuta hisia kutoka pande nyingi sana.
 
Watanzania wanapenda mambo mazuri yatokee katika jamii yao ila ikitokea ukaanza kufanya hayo mambo mazuri wewe. Utapigwa vita sana....
 
Daah mwamba kumbe ulikuwa jirani tu pale...😁😁😁 Juice World alikuwa mtu wangu sana aisee...Jirani yangu kabisa kule alikozaliwa.

Tuwaombee ndugu zetu Simba kesho ikitokea isifike 5....wanawakilisha Taifa .

Wale Orlando Pirates kama lilivyo jina lao ni Maharamia kweli kweli ..wanaweza kutuletea mambo ya ajabu ajabu sana kiwanjani.

Hao ndio wale wapuuzi wanakuwa na vichenga chenga kama waganga wa usiku.
#Simba mbele
 
Orlando hawaziwezi figisu, si home si ugenini wanaweza fanya conspiracy zao zikafanikiwa

Afu wazo la kufungwa kesho ondoa, kesho ni kipigo heavy mwanzo mwisho hakuna kupaki basi.
 
Hongera kwa kwenda Canada mzee naona ndo ulitaka tujue
 
Mimi nimeikubali Sana hii information,ila ujue watanzania hatupendi vya kwetu,kwa hali ya soka la simba,tunatakiwa kujipongeza
 
Orlando hawaziwezi figisu, si home si ugenini wanaweza fanya conspiracy zao zikafanikiwa

Afu wazo la kufungwa kesho ondoa, kesho ni kipigo heavy mwanzo mwisho hakuna kupaki basi.
Mamelodi naye kabanwa huko, huenda akang'olewa
 
You have asked the wrong question
Why wrong? Amesema anatoka kwenye show zake anapata taarifa pac amepigwa risasi na amekufa ndiomaana nikauliza pac alivyopigwa risasi alidedi hapo hapo au alikaa hospitali siku kadhaa? 2pac alifariki siku sita baada ya kupigwa risasi
 
Avuke kwenda wapi
Unaota . Narudia tena Kesho ndio mwisho wenu .
 
Why wrong? Amesema anatoka kwenye show zake anapata taarifa pac amepigwa risasi na amekufa ndiomaana nikauliza pac alivyopigwa risasi alidedi hapo hapo au alikaa hospitali siku kadhaa? 2pac alifariki siku sita baada ya kupigwa risasi
Naelewa point yako na uko sahihi kwenye hilo ila mi nime criticize typing error yake alivyoandika short badala ya shot
 
Huitaji pikipiki ya trafiki kule, acha ujinga.

Sipendi kujikweza, my first trip ni Canada, hakuna issue ya Canada ndio maana sina cha kushare my experience.

Canso Nova Scotia
Pole sana!! Sisi tunaongelea taratibu za CAF zinaelekeza mgeni lazima apewe trafic/police escort na hilo liko wazi!! Watu wakianza kueleza nchi walizotembelea utajificha, wala hapa siyo mahali pake. Hapa tuongelee taratibu zilizopo full stop!!
 
Sasa uefa na simba wapi na wapi..? 🚮🚮 simba ni ya Afrika na uefa inapigwa na timu za mataifa ya ulaya mabara mawili tofauti. Wewe mpumbavu kabsa wala sificha wala kumung'unya neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…