Kwa hiyo mtume muhammad ni muhuni tu maana hata yeye amesema wazi na nukuu ...imehalibikiwa jamii ile ambayo kiongozi wao ni mwanamke ...sasa swali tumwamini na kumsikiliza muhammad au tumsikilize mpuuzi shekh mandazi .tukufu adriz na huyo mwanamke wake.ID fake isikupe kiburi , usibeti life yako kipuuzi mkuu #Jichunge
Tumia akili wewe shekh mandazi ...mtu yoyote anaye amini kuwa ana wajomba oman au arabuni au kwa mabeberu watakao mjengea nchi yake ... huyo ni sawa na kahaba tu anaye jiuza mwili wake kwa kisingizio cha fedhaID fake isikupe kiburi , usibeti life yako kipuuzi mkuu #Jichunge
Hivi unakula Bangi ? wenzako wanapotezwa kwa tabia kama zako za kutotumia lugha nzuri katika ukosoaji na kuvuka mipaka.Tumia akili wewe shekh mandazi ...mtu yoyote anaye amini kuwa ana wajomba oman au arabuni au kwa mabeberu watakao mjengea nchi yake ... huyo ni sawa na kahaba tu anaye jiuza mwili wake kwa kisingizio cha fedha
Kwani mimi BWANA ROSTAM AZIZI SIMJUI ...NAMJUA NA YEYE ANANIJUA VIZURIHivi unakula Bangi ? wenzako wanapotezwa kwa tabia kama zako za kutotumia lugha nzuri katika ukosoaji na kuvuka mipaka.
Kama hujaiona basi nenda jikoni huko kachochee maharage, sina Cha kuongea nawe!, una akili ? Ainisha sehemu yenye udini
Suingi mkono Ccm. Ccm ishajifia. Mimi nawakumbusha tu chadema kuwa chadema inahitaji kuyashawishi makundi makubwa ya wapenda mabadiliko.Unawalaumu chadema alafu maksudi hutaki kuwalaumu ccm ambao tokea uhuru wao ndo wanaoongoza hii nchi inawajinga wengi sana
Tatizo la nchi hii ni ccm upende au usipende chadema hawajawahi kuongoza serikali unawalaumuje serikali ilihali hujawapa nafasi
Hata hiyo sera ya majimbo ni ya chadema lakini kamwe ccm hawawezi ikubali kwa sababu ukikubali majimbo maana yake nafasi za ukuu wa mkoa na wilaya zinaota mbawa ccm hawawezi kubali hizo nafasi ziote mbawa sababu ndo ulaji wao
Suingi mkono Ccm. Ccm ishajifia. Mimi nawakumbusha tu chadema kuwa chadema inahitaji kuyashawishi makundi makubwa ya wapenda mabadiliko.
Hizi propaganda zinazopunguzia ushawishi wajukwaa mengine ya mabadiliko husababisha kuipa nafasi ccm waendelee kuhema.
Suala la bandari chadema wenyewe wanajua limepokewa kwa hisia hasi na watu wa mwambao. Ndio maana walipopelekwa pua yao mwembe yanga walijibiwa. Tofauti na walipokwemda huko sengerema ambao pamoja na kupokewa lkn wananchi wa huko wengine hata maji ya bahari hawajawahi kuyaona.
Ni operation iliyojaa Vionjo kwa kibaguzi.
Operation hii ulikwenda kinyume na sera ya chadema ya majimbo na ilikuwa na harufu za Ubaguzi.
Kila vita ina kanuni zake. Inteligensia ya chadema inapaswa kuelewa namna ya kurahisisha vita hii.
Uongozi mpya wa chadema umelisahau wawakilishi kina mama ktk nafasi za teuzi za nafasi za uongozi na pia umelisahau jukwaa la waislam.
Kwa makosa haya tukubali chadema inapigana vita kwa njia ngumu sana. Inapigana kama imejitosheleza. Wakati makundi haya wanahitaji kuona yameshirikishwa tu. Wenyewe wanaingia vitani na vita hii ingekuwa rahisi kuliko sasa
Sema Allahuma AminaSuingi mkono Ccm. Ccm ishajifia. Mimi nawakumbusha tu chadema kuwa chadema inahitaji kuyashawishi makundi makubwa ya wapenda mabadiliko.
Hizi propaganda zinazopunguzia ushawishi wajukwaa mengine ya mabadiliko husababisha kuipa nafasi ccm waendelee kuhema.
Suala la bandari chadema wenyewe wanajua limepokewa kwa hisia hasi na watu wa mwambao. Ndio maana walipopelekwa pua yao mwembe yanga walijibiwa. Tofauti na walipokwemda huko sengerema ambao pamoja na kupokewa lkn wananchi wa huko wengine hata maji ya bahari hawajawahi kuyaona.
Ni operation iliyojaa Vionjo kwa kibaguzi.
Operation hii ulikwenda kinyume na sera ya chadema ya majimbo na ilikuwa na harufu za Ubaguzi.
Kila vita ina kanuni zake. Inteligensia ya chadema inapaswa kuelewa namna ya kurahisisha vita hii.
Uongozi mpya wa chadema umelisahau wawakilishi kina mama ktk nafasi za teuzi za nafasi za uongozi na pia umelisahau jukwaa la waislam.
Kwa makosa haya tukubali chadema inapigana vita kwa njia ngumu sana. Inapigana kama imejitosheleza. Wakati makundi haya wanahitaji kuona yameshirikishwa tu. Wenyewe wanaingia vitani na vita hii ingekuwa rahisi kuliko sasa
Sawa Mzee wa Kamari.Kwani mimi BWANA ROSTAM AZIZI SIMJUI ...NAMJUA NA YEYE ANANIJUA VIZURI
Tunachorwa.Hata hao Akina Macron sijui Zolensky na kina Putin wote ni USA strategy kubalance dunia.
Tunapigwa
Mtanyooka na baado, huyo Zelensky ni mpumbavu sana, Russia alimfuata amalize vita kwa mazungumzo ila kwa sababu ya kiburi ya mashoga Biden akijitia nunda Sasa mambo yamekua magumu analia, atulie hivyo hivyo.Yaani pale Marekani wamechaguliwa wahuni... Nadhani leo walikosa busara za "Rais wao" Elon Musk! Labda angekuwepo hali ingekuwa tofauti.
Kingine na hiki ni muhimu sana: Nimemkubali zaidi Zelensky! Amejua jinsi ya kukabiliana na Trump na kuonesha dhahiri malengo ya utawala wa Trump!
Hakujali yupo Oval Office live kwenye media!
Hakuwa muoga!
Hakuiuza nchi yake kwa vipande vya fedha!
Kafuata njia ile ile ya Emmanuel Macron!
Trump akizingua. Mzingue
Haya unayasema wewe. But I'm sure Zelensky huko alipo anajuta sana na hofu ikiwa juu yake. Maana mabeberu yanataka madini yake na Huku Putin anataka Roho yake, he's in trouble. Na hili liwe funzo katka maamuzi tunayo chukua pasipo fikiria mbele Kuna nini!! Na hichi ndicho kilicho mkuta huyu mchekeshaji.Viongozi wote duniani wana cha kujifunza kwa rais wa Ukraine Volodomir Zelenskyy, ukiwa kiongozi wa nchi usikubali kuwa mnyonge mbele ya kiongozi wa nchi nyingine hata kama imewazidi kila kitu, leo amemkabili Trump kikatili sana na kumuonesha maana ya ukinidharau nakukabili kama mbwai mbwai
Zelenskyy kamkabili Trump na makamu wake kiulalo ulalo bila hofu wala unyonge. Majibizano kati yao nmekuekea link hapo chini kwenye comments, ni aibu, Ikulu ya Marekani italazimika kutoa tamko kujisafisha. Kilichotokea jioni hii ni aibu na fedheha kubwa ya kidiplomasia kwa taifa hilo kubwa na lenye nguvu ulimwenguni
Trump na makamu wake walijaribu kumsiginya kibabe na kumshambulia kwa maneno makali ya kumshushia hadhi na kujaribu kumtupia lawama ila Zelenskyy amewashikisha adabu, amejibu kwa usahihi na kuwarudishia mashambulizi yao mpaka mkutano ukaharibika
Kiufupi viongozi hususan wa mataifa masikini wanapaswa kumuiga Zelenskyy, ukienda kwenye mataifa tajiri ukawa dhaifu unaburutwa ila ukisimama imara unaheshimika na kamwe taifa lako halitachukuliwa kama shamba la bibi
Hata wakombozi wa nchi zetu kama Mwalimu Julius Kambarage Nyerere walisimama imara mno dhidi ya mabeberu, haikuwa rais ila huo ndio uongozi uliotukuka unaoacha alama na uzalendo mkuu kwa taifa
Kwamba wewe uliye huko Bonyokwa ndiyo unajua Siasa kuliko Trump? Asiee... Mbona WaTanzania tuna ujuaji sana.Tuambie marafiki zako tukwambie ilivyo!
Trump mwenyewe hajui politics.
Sasa mbele ya media kwenye bilateral and diplomatic negotiations zilizokorogeka kama zile kwanini alimtukana Joe Biden? Why alim-attack Obama?
Mkuu upo sahihi💯 huyu mchekeshaji wa Ukraine alionywa mapema ila kwa sababu ya mabeberu akawa na kiburi Sasa saivi yamemgeuka yanataka vitu vyao.Trump derangement syndrome!
Kubishana wabishane wote, akiwemo Zelenskyy, lakini lawama anapewa Trump peke yake kana kwamba alikuwa anabishana peke yake.
Funzo: ukiwa ombaomba hayo ndo madhara yake.
Unafunga safari toka Ukraine kwenda Washington DC kuomba wakupige tafu halafu unaleta ujeuri.
What do you expect?
Jengeni nchi zenu na muache kuwa ombaomba.
Mimi nitakufa na shida zangu kabla sijauweka rehani utu wangu kwa kuwa ombaomba.
Potelea mbali. Kufa na heshima yangu ni bora maradufu kuliko uhai wa kudhalilishwa.
Wacha nijiunge bando la elfu mbili sasa hiviSawa Mzee wa Kamari.
That's is poor lifeWacha nijiunge bando la elfu mbili sasa hivi
Nahisi waliamua kumfanyia kusudi kama chambo(sample) kwa wengine ili wajue unapopewa misaada ujiande pia kudhalilika...😄... Maana Washington hawawezi kufanya kitu hivi hivi...Sindio 🤣🤣
Yeye alidhani msaada anapewa bure hakunaga hilo katika siasa , ule msaada it was a big trap , mwisho wa siku hata kina biden lazima wange muambia awape rasilimali za Ukraine sema tofauti ya biden na Trump ameweka mambo hadharani wakati mambo kama hayo huwa ni siri, so ni lazima zelensky atie ngumu maana anaogopa kuonekana kuwa anaiuza nchi yake ila kama wangefanya kimya kimya pasingekuwa na huo utata ,
Walimbania huyu Mama . Ila I am not sure kama Trump atadumu. Yasijekutokea ya JFK.Nahisi waliamua kumfanyia kusudi kama chambo(sample) kwa wengine ili wajue unapopewa misaada ujiande pia kudhalilika...😄... Maana Washington hawawezi kufanya kitu hivi hivi...