Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

Trump ni tatizo kweli-kweli

Zelensky ameonesha kufahamu utawala wa Trump unamaanisha nini, na alijitayarisha kwa ripoti alizopewa na vyombo vyake vya kidiplomasia na kijasusi nini konaweza kutokea ndiyo maana hakuonesha kushangaa kilichotokea na Zelensky na timu ya wasaidizi wao walisha otea na kujipanga


Swali kuu kwa nchi masikini za kiafrika ikiwemo Tanzania, je wamejitayarisha kwa sera ya MAGA America First kuwa hakuna misaada bila masharti mazito?

ZELENSKY. Kumbe kajeuri😄

Bado watawala wa CCM wakienda White House sijui kama watakuwa wameotea nini watakikuta, au itakuwa surprise kwa viongozi wa CCM na vyombi vyao vya Dola kama mabalozi na usalama wa Taifa kitego cha nje kuwa na taarifa kabla ili waweze kuwa na ubavu kama wa Zelensky kutoka na weledi wa mabalozi wake ktk ujasusi wa kidiplomasia na usalama wa taifa kitengo cha intelejensia ya nje ili wasikurupushwe White House..

JUKUMU LA USALAMA WA TAIFA KITENGO CHA UJASUSI WA NJE
Ujasusi Blog
www.ujasusi.com
Intelligence insights on series of leadership changes at Tanzania's ...

13 Jul 2024 — The appointment of Selemani Mombo as the new TISS Director General could have significant impacts on Tanzania's security and intelligence

JUKUMU LA WIZARA YA MAMBO YA NJE :
Waziri wa Mambo ya Nje Mahmoud Kombo, wakurugenzi wizarani, mabalozi uwezo wa kukusanya taarifa za maoteo ili Tanzania isijikute inapata surprise kubwa kutoka kwa washirika wake


View: https://m.youtube.com/watch?v=ZJJtJslaC_4
 
Mimi tokea mwanzo wa vita nilisema zelendky ni jasiri sana ila kama kawaida watu wengi pro putin wakanibeza

Ukweli ni kwamba Afrika tunahitaji viongozu kama zelensky ambaye ana guts za kumwambia mmarekani hili haliwezekani
Kosa la Kwanza ni kuingia hiyo vita Kwa sababu Biden na PM WA UK walitaka kulitumia Ukraine kuidhofisha urusi.sasa mambo yamebadilika katika uwanja wa vita na wawekezaji
 
Mimi nawashangaa tu hao wa Ulaya. Kwa nini wasiachane tu na Trump na Marekani yake?

Wanavyong’ang’ania kupigwa tafu na US wanaonyesha ni jinsi gani walivyo weak.

Ingekuwa ni juu yangu ningeachana kabisa na Trump pamoja na US. Potelea mbali….hata kama nikiangamizwa kabisa na Putin.

Mimi Siwezi kudhalilika/ kudhalilishwa namna hiyo aisee.

Uomba omba ni mbaya sana.
 
Inaweza kuwa Zelensky akushanga, ila dunia imeshangzwa. Not so much kuhusu kukubaliana au la.

Mshangao ni vile namna viongozi wa nchi kuongea kama ilivyotokea mbeke ya camera za dunia.


View: https://m.youtube.com/watch?v=au-IVW4M0Oo

View: https://m.youtube.com/watch?v=90mPmZ_VuGk
Tafuta media yeyote duniani ambayo mchambuzi mgeni ni senior civil servants, active or retired ambae ajashangazwa na kilichotokea. That’s not diplomacy
 
Wale walipanga kumdhalilisha tu na kumuonyesha kwamba you'r nothing to us , Mbona hawafanyi hivyo kwa wengine ila niwe mkweli binafsi nimependa ile ni big threat kwa maraisi wengine wasenge wasenge wakae wafahamu kama zele na Ukraine yake ambao walikuwa ni sawa na mtoto ambaye ni last born for usa na kila alichokuwa anakitaka anapewa mwisho wa siku amekua treated like that basi na wao sio lolote sio chochote lita wakuta jambo
 
🤣🤣🤣🤣

Tulikuwa tuna waambia humu before russia ni lidude likubwa sana ona sasa yanayo wakuta dahh aibu sana so sad
 
Msimamo wako nawangu ni sawa kabisa, kwasababu naamini hata USA naye huwa hawezi kupigana vita vyake mwenyewe naye lazima huwa anaomba msaada, licha ya Technologia aliyonayo lakini anaomba manpower na kutumia ardhi za wenzake kwa tactical issues.

Ana military base kila kona, wavunje ndoa naye tuone naye atasimama vipi peke yake.

Wangeachana na US hata kwa Term mmoja waone nini kitawatokea, unajua kunavitu vingine huwa tunaogopa kwa kutishwa tu.

Unaweza kuta wana mmudu Putin peke yao bila USA, na sijui kwanini wanaogopa kiasi hicho.

Kwasababu kama ni nuclear hata Putin mwenyewe anaiogopa, licha ya kutishia wenzake lakini naye inaweza kumlipukia mwenyewe humo humo ndani.

Mi nahisi hajapata mwehu mwenzake, ambaye atasema sasa inatosha nenda zako nasi tubaki kivyetu.
 
Ndio anapotea hivyo lakini soon watasitisha misaada na unaweza kushangaa waka mtoa madarakani macron kamponza mwenzie
 
🤣🤣🤣🤣

Tulikuwa tuna waambia humu before russia ni lidude likubwa sana ona sasa yanayo wakuta dahh aibu sana so sad
Sidhani kama ni kubwa kiasi hicho, ni uoga tu unawasumbua.
 
Zaidi ya viongozi wa Ujerumani, UK na France, hakuna mwenye kutaka kuongea na Trump

Watakwenda wengi tu Mkuu, Kwani unadhani wanakwenda kwa kutaka? Nguvu ya pesa, angalia South Africa, Ramaphosa, kwangu sikutegemea! Anataka kwenda Marekani kuweka mambo sawa na Trump.. Rejea tu, Trump kaiua USAID Imeyumbisha nchi nyingi sana....! Unadhani Zelensky alitaka? shida mkuu, hata NATO ni pesa ya Marekani, itabidi wajipange sasa hivi kumsaidia Zelensky.

 
Hakuna cha fukuto la upinzani tulia wewe dawa iwaingie 🤣🤣🤣

Trump oyeeee
 
Sidhani kama ni kubwa kiasi hicho, ni uoga tu unawasumbua.
Kama sio kubwa kwanini usa na nato wasiendelee kukaa upande wa ukrain waipige russia kisha wachukue ardhi yake ili wapate kunufaika ,?

🤣🤣🤣🤣
 

Mkuu, Umaskini ni kitu kibaya sana! umaskini wewe mtu binafsi, familia, taifa nk! Angalia tu Trump anaivyoivunja USAID Kelele kote ulimwenguni, na Budget ya USAID 1% kwenye Budget nzima ya US! Rejea budget ya NATO....nani anaibeba! Ukiwa Maskini ni shida mkuu!
 

Mkuu unajua leo kuwa Ulaya iko weak!

Wanavyong’ang’ania kupigwa tafu na US wanaonyesha ni jinsi gani walivyo weak.
 
Kama sio kubwa kwanini usa na nato wasiendelee kukaa upande wa ukrain waipige russia kisha wachukue ardhi yake ili wapate kunufaika ,?

🤣🤣🤣🤣
Hakuna mtu au nchi inataka kuchukua Ardhi ya nchi nyingine humu duniani zaidi ya Russia, NATO na USA wao wanataka kila mtu abaki kwake, hata hiyo vita ni Putin analazimisha bila sababu yoyote ya msingi. Karne hii utahodhi ardhi ya mtu kwa muda tu.

Hata huko Russia Putin akiondoka usishangae watakao mfuata wakarudisha kila kitu kilivyokuwa awali.

Nani hataki kuishi kwa amani dunia hii zaidi ya Putin?
 

Mkuu utasemaje kuhusu Rwanda, huko Congo!
 
Usa wamekuwa kama mafia state wale Taiwani na Waarabu wasipojifunza hapa imekula kwao
 
Umeandika vzr saana but ujinga ukaanza kwa kurenga chuki zidi ya waarabu haya ile buzwagi mlikua mnapata zero aliinvest mwarabu vp gas ya mtwara kainvest mwarabu acheni kukalili maisha kama mmezoea wazungu things have changed shida kuwekwe sheria nzuri kwa manufaa ya nchi

Umeandika vzr saana but ujinga ukaanza kwa kurenga chuki zidi ya waarabu haya ile buzwagi mlikua mnapata zero aliinvest mwarabu vp gas ya mtwara kainvest mwarabu acheni kukalili maisha kama mmezoea wazungu things have changed shida kuwekwe sheria nzuri kwa manufaa ya nchi basi achia akili ifanye kazi
 
Ukisikia Jeuri ya Maskini ndiyo hiyo!
Ndicho Zelensky alichoonyesha kwa Trump.
Kuna mazingira ambayo mtu unakataa kufokewa hadharani eti kwa sababu wewe ni mnyonge.


 

Hiyo ndio style yake mkuu! Anza kwa kuangalia kampeni zake! Alifanya peke yake! Kila kitu kafanya kwa style yake! Ni nani Rais wa Marekani baada ya kuingia madarakani akaanza kuifanyia serikali auditing! Unajua numbey ya wafanyakazi serikali anawaondoa! Hatuwezi kusema sasa hivi itakuwa na madhara kwa Marekani au dunia! Tusubiri tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…