Viongozi wa Tanzania wake zao wanaenda kuzalia Marekani

Viongozi wa Tanzania wake zao wanaenda kuzalia Marekani

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,620
Reaction score
10,261
Msiojua kingereza mnisamehe

Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports. Patriotism?

Mda huo huo hawataki uraia pacha ila wanapeleka wake zao kuzalia marekani

Ukiwakuta wakiongea kwa uchungu kuipinga marekani mfano mtu kama kabudi anaongeaga mpaka mate yote yanaisha mdomoni alafu mlango wa nyuma wanawapeleka kuzalia marekani

Wanasumbuliwa na ulimbukeni tu hakuna kingine, kwamba ukizaliwa marekani basi ndo unaingia mbinguni moja kwa moja? huyo nape si ndo alikanyaga matako ya kina mama kule jimboni kwake.....halafu aina hii ya wanasiasa ndo utegemee watoe maono au dira ya nchi.​
 
Msiojua kingereza mnisamehe

Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports. Patriotism?
Yumia gugo translator
 
Kwani kuzalia ulaya,Kuna shida gani?hata mtoto akiwa na passport ya UK,au USA,shida ipo wapi?kwanza watoto wao sio viongozi wa serikali,
Hata Diamond,watoto wake Wana uraia wa southafrika,
Hata leo,unaweza kuwmua ukaenda kuomba uraia wa USA,
 
Mimi mwenyewe ningekua nina mkwanja wa kutosha watoto wangu wangeenda zaliwa marekani kule hakuna chanjo za kipumbavu watu wanaangalia huduma kibongo bongo mtoto anachanjwa mavitu hata hayaeleweki ilimradi wajaze data.

Tujitahidi hata kama hatuna hela za kwenda us bas tuwe na watu wa karibu kwenye sekta ya afya watupe miongozo chanjo ipi nziri chanjo ipi haifai
 
Tunalalamikia viongozi ukifika uchaguzi over 50% of the population wanawachagua haohao.

Yani ilipaswa kuwa hata kuiba kura ishindikane box moja liwe na kura 4000 kingine liwe na kura moja.

Otherwise tutaendelea kujiadhibu na ujinga wetu wenyewe....

....na maskini wenyewe wanaoteseka na ukosefu wa huduma ndo wa kwanza kuwapigia kura...🗑️
 
duo citizenship kwa tanzania bado na kwa nn wabongo wanapenda kukana uraia wa nchi yao?hivi ulaya au america ni mbinguni au kuna nini?au ndo ile colonial mentality?
Tukubali america wametuacha mbali umaskini ndio unafanya uone hakuna jipya lakini yapo mengi sana ya kutuzidi na huduma zao bora zaidi
 
Tunalalamikia viongozi ukifika uchaguzi over 50% of the population wanawachagua.

Yani ilipaswa kuwa hata kuiba kura ishindikane box moja liwe na kura 4000 kingine liwe na kura moja.

Otherwise tutaendelea kujiadhibu na ujinga wetu wenyewe....

....na maskini wenyewe wanaoteseka na ukosefu wa huduma ndo wa kwanza kuwapigia kura...🗑️

Hakuna uchaguzi Tanzania boss, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hao wanajichagua wenyewe.
 
Uwa nashindwa kuelewa ile hoja ya kusema eti mtoto yeyote atakayezaliwa Marekani automatically anakuwa raia wa huko,yaani mama apate mimba kwao huko akiona bado wiki mbili anaenda Marekani halafu mtoto apate uraia! Kweli Marekani wanagawa uraia kama njugu!
Najiuliza tu.
 
duo citizenship kwa tanzania bado na kwa nn wabongo wanapenda kukana uraia wa nchi yao?hivi ulaya au america ni mbinguni au kuna nini?au ndo ile colonial mentality?
Passport ya marekani ni kama master key ya kuingilia nchi nyingi bila changamoto za kuomba visa . Maajabu viongozi wa tz hawaungi mkono uraia Pacha ila watoto wao wana uraia wa US, Canada na EU kisiri Siri.
 
Back
Top Bottom