Viongozi wa Tanzania wake zao wanaenda kuzalia Marekani

Viongozi wa Tanzania wake zao wanaenda kuzalia Marekani

Kinyume kivipi? Nilichomaanisha ni kwamba mkwanja ungekuepo mke angejifungulia US siwashangai hao wenye hela wakiwapeleka wake zao maana wanajali huduma bora kwa watoto wao
Mkuu I always had it in my mind kuwa vichanga vya kule vinapewa chanjo nyingi kuliko huku, niligundua wakati natafuta Habari za chanjo wakati nina ujauzito. Lakini siwezi kutoa vielelezo vyovyote kwa sasa, so naachana na huu mjadala.
 
Tatizo sio wingi wa chanjo huku mtoto anapewa chanjo za kisiasa sana kule mtoto anapewa chanjo zitakazomjenga sio kubomoa afya na akili ya mtoto
 
Tatizo sio wingi wa chanjo huku mtoto anapewa chanjo za kisiasa sana kule mtoto anapewa chanjo zitakazomjenga sio kubomoa afya na akili ya mtoto
Aisee Mkuu hii kali, chanjo za kisiasa! Basi sawa. (Na idadi ya chanjo sio jambo dogo, vaccines are a business at the expense of our ignorance and health ndo maana kuna ma anti vaxxers)
 
Kwani kuzalia ulaya,Kuna shida gani?hata mtoto akiwa na passport ya UK,au USA,shida ipo wapi?kwanza watoto wao sio viongozi wa serikali,
Hata Diamond,watoto wake Wana uraia wa southafrika,
Hata leo,unaweza kuwmua ukaenda kuomba uraia wa USA,
bado hujaelewa lolote kuhusu hii post au umeelewa ila hujawa na iq ya kuichambua logic ya hii post
 
Msiojua kingereza mnisamehe

Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports. Patriotism?

Mda huo huo hawataki uraia pacha ila wanapeleka wake zao kuzalia marekani

Hao ma CIA puppets ….yaani na Bashungwa naye anataka kuja kuwa Rais wa Tanzania ….naona na yeye ana ka movements kake underground watu wanampiga pesa …
 
Aisee Mkuu hii kali, chanjo za kisiasa! Basi sawa. (Na idadi ya chanjo sio jambo dogo, vaccines are a business at the expense of our ignorance and health ndo maana kuna ma anti vaxxers)
Nikushauri kama unaweza hebu kuwa na watu wa karibu walioko kwenye sekta ya afya na watakufunua macho kidogo unashangaa chanjo za kisiasa kwani mwaka jana watoto si walikua wanalazimishwa kuchanjwa chanjo ya polio hata kama alishachanjwa na ukikataa wanakuchukia kabisa na wanatishia kutohudumia mtoto yote hayo yalikua mambo ya serikali na ukiwahoji kwann hawana majibu yakueleweka
 
January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports. Patriotism?
Ila hao akina Kinana, Kabudi na Mulamula kweli unawajumuisha na vijana?
Inawezekana sana watoto wao walizaliwa wao walipokuwa wakilitumikia taifa katika nafasi zao enzi zileeee au watoto walikwenda kusoma na kuishia kuomba uraia wa kule (siyo shida saaana hasa Marekani).
 
Uwa nashindwa kuelewa ile hoja ya kusema eti mtoto yeyote atakayezaliwa Marekani automatically anakuwa raia wa huko,yaani mama apate mimba kwao huko akiona bado wiki mbili anaenda Marekani halafu mtoto apate uraia! Kweli Marekani wanagawa uraia kama njugu!
Najiuliza tu.
ukizaliwa kule tu una haki ya kupata ile birth certificate yao (muhimu sana), na baadae ukirudi tz ukaendelea na maisha lakini ukifika miaka 16 una haki ya kuchagua uraia unaoupenda (US au Tz).

Siyo shida saana wao wanahitaji rasilimali watu.
 
Sawa boss.
 
[
[/QUOTE]
Mimi mwenyewe ningekua nina mkwanja wa kutosha watoto wangu wangeenda zaliwa marekani kule hakuna chanjo za kipumbavu watu wanaangalia huduma kibongo bongo mtoto anachanjwa mavitu hata hayaeleweki ilimradi wajaze data.
Ni chanjo zipi hizo za kipumbavu ambazo hazieleweki?
 
Nikushauri kama unaweza hebu kuwa na watu wa karibu walioko kwenye sekta ya afya na watakufunua macho kidogo unashangaa chanjo za kisiasa kwani mwaka jana watoto si walikua wanalazimishwa kuchanjwa chanjo ya polio hata kama alishachanjwa na ukikataa wanakuchukia kabisa na wanatishia kutohudumia mtoto yote hayo yalikua mambo ya serikali na ukiwahoji kwann hawana majibu yakueleweka
African are Guinea-pigs of European labs......nani anae pinga hili nimpe ushahidi zaidi, my kids never attend public and community clinics, its one of the reason why we have dull generation of kids with low-level Iq, how comes a kid of 7yrs suffers high blood pressure?????
 
Kuna mjinga mmoja mtetea legacy kulwqa jilala yeye anasema viongozi wa Chadema tu ndiyo wanaishi marekani na kwakuwa wanaishi marekani baasi ni mashoga nikampa huu mfano wa hawa watu ccm ni tatizo
Huyo uliyemtaja hivi anazijua CCM kweli au bendera I nasubiri upepo!!! Viongozi wao siku zote wanacheka KIJAMAA, lakini wanacheza mziki KIBEPARIII
 
Msiojua kingereza mnisamehe

Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports. Patriotism?

Mda huo huo hawataki uraia pacha ila wanapeleka wake zao kuzalia marekani
Si marekani pekee hata UK 🇬🇧, unamfahamu katibu mkuu wa sasa wa wizara ya Michezo? Zamani alikuwa mtangazaji wa BBC yeye watoto wake wote ni Raia wa Uingereza
 
Back
Top Bottom