Hela zao wapi? Wakati wanaingia katika utumishi wa umma walikuwa na nini? Anzia hapo kwanzaSi hela zao jamani
Watoto wa Diamond siyo raia wa South Africa. Kuzaliwa South Afrika na wazazi wageni, haukupi automatic South Africa citizenship!Kwani kuzalia ulaya,Kuna shida gani?hata mtoto akiwa na passport ya UK,au USA,shida ipo wapi?kwanza watoto wao sio viongozi wa serikali,
Hata Diamond,watoto wake Wana uraia wa southafrika,
Hata leo,unaweza kuwmua ukaenda kuomba uraia wa USA,
Kama unategemea kuwatoa kwa kura basi ujue unapoteza muda wako.Kwa mtazamo huu wewe ni sehemu ya tatizo. Acha tuendelee kufia mahospitalini wakati wenyewe wanaenda kutibiwa nje
Uwqziri pia ni kazi kama kazi zingine, afu hao ni watoto wa madon , em.angalia historia ya mheshimiwa January kakulia sana huko njeHela zao wapi? Wakati wanaingia katika utumishi wa umma walikuwa na nini? Anzia hapo kwanza
sijakuelewa kuwa unalalamikia uwepo wa hizo chanjo au vipi?African are Guinea-pigs of European labs......nani anae pinga hili nimpe ushahidi zaidi, my kids never attend public and community clinics, its one of the reason why we have dull generation of kids with low-level Iq, how comes a kid of 7yrs suffers high blood pressure?????
Nilitaka kutukana ila basKinyume kivipi? Nilichomaanisha ni kwamba mkwanja ungekuepo mke angejifungulia US siwashangai hao wenye hela wakiwapeleka wake zao maana wanajali huduma bora kwa watoto wao
Sidhani kama nimekua specific kiasi hicho soma tena hoja yangu ndo ucomment tena.sijakuelewa kuwa unalalamikia uwepo wa hizo chanjo au vipi?
Ikiwa mtoto wako ana high blood pressure hiyo imetokea ni bahati mbaya. Kuna watoto wanaumwa kila aina za maradhi na hii ni dunia nzima siyo Tz tu.
Unashangaa Kwa nini hawakuenda kuzalia Russia au Iran? 🤣🤣Msiojua kingereza mnisamehe
Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports. Patriotism?
Mda huo huo hawataki uraia pacha ila wanapeleka wake zao kuzalia marekani
Ukiwakuta wakiongea kwa uchungu kuipinga marekani mfano mtu kama kabudi anaongeaga mpaka mate yote yanaisha mdomoni alafu mlango wa nyuma wanawapeleka kuzalia marekani
View attachment 2608472
Tukana tu upo huru.Nilitaka kutukana ila bas