Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,620
- 10,261
Yumia gugo translatorMsiojua kingereza mnisamehe
Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports. Patriotism?
Kwani kuzalia ulaya,Kuna shida gani?hata mtoto akiwa na passport ya UK,au USA,shida ipo wapi?kwanza watoto wao sio viongozi wa serikali,Msiojua kingereza mnisamehe
Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports. Patriotism?
Mbona umeongea kinyume!! 🙆watoto wangu wangeenda zaliwa marekani kule hakuna chanjo za kipumbavu watu wanaangalia huduma kibongo bongo mtoto anachanjwa mavitu hata hayaeleweki ilimradi wajaze data.
duo citizenship kwa tanzania bado na kwa nn wabongo wanapenda kukana uraia wa nchi yao?hivi ulaya au america ni mbinguni au kuna nini?au ndo ile colonial mentality?American citizenship, passport ni muhimu sana.
Kinyume kivipi? Nilichomaanisha ni kwamba mkwanja ungekuepo mke angejifungulia US siwashangai hao wenye hela wakiwapeleka wake zao maana wanajali huduma bora kwa watoto waoMbona umeongea kinyume!! 🙆
Tukubali america wametuacha mbali umaskini ndio unafanya uone hakuna jipya lakini yapo mengi sana ya kutuzidi na huduma zao bora zaididuo citizenship kwa tanzania bado na kwa nn wabongo wanapenda kukana uraia wa nchi yao?hivi ulaya au america ni mbinguni au kuna nini?au ndo ile colonial mentality?
Tunalalamikia viongozi ukifika uchaguzi over 50% of the population wanawachagua.
Yani ilipaswa kuwa hata kuiba kura ishindikane box moja liwe na kura 4000 kingine liwe na kura moja.
Otherwise tutaendelea kujiadhibu na ujinga wetu wenyewe....
....na maskini wenyewe wanaoteseka na ukosefu wa huduma ndo wa kwanza kuwapigia kura...🗑️
Passport ya marekani ni kama master key ya kuingilia nchi nyingi bila changamoto za kuomba visa . Maajabu viongozi wa tz hawaungi mkono uraia Pacha ila watoto wao wana uraia wa US, Canada na EU kisiri Siri.duo citizenship kwa tanzania bado na kwa nn wabongo wanapenda kukana uraia wa nchi yao?hivi ulaya au america ni mbinguni au kuna nini?au ndo ile colonial mentality?
Nataka ukazalie marekani, sawa?Si hela zao jamani