Viongozi wa Tanzania wake zao wanaenda kuzalia Marekani

Nchi ambayo Raia wake akitekwa watamtetea na kulipa fidia aachiwe
 
Kwani kuzalia ulaya,Kuna shida gani?hata mtoto akiwa na passport ya UK,au USA,shida ipo wapi?kwanza watoto wao sio viongozi wa serikali,
Hata Diamond,watoto wake Wana uraia wa southafrika,
Hata leo,unaweza kuwmua ukaenda kuomba uraia wa USA,
Watoto wa Diamond siyo raia wa South Africa. Kuzaliwa South Afrika na wazazi wageni, haukupi automatic South Africa citizenship!
 
Hii issue imekuwa kawaida kwa wenye vipato hata vya wastani, ni suala la kujua tarehe za mkeo kujifungua, jichange nauli panda ndege nendeni zenu Marekani, akishajifungua baada ya wiki au mwezi mnageuza.
 
Hela zao wapi? Wakati wanaingia katika utumishi wa umma walikuwa na nini? Anzia hapo kwanza
Uwqziri pia ni kazi kama kazi zingine, afu hao ni watoto wa madon , em.angalia historia ya mheshimiwa January kakulia sana huko nje

Pia mbona kuna wabongo wengi tu wanatibiwa njee

Tutafute mane
 
Ni jambo asilia aka natural na la msingi kuwa mzazi yeyote bila kujalisha uzalendo,, tabaka au political conviction anamtakia mema na mazuri mwanaye wa kumzaa ikiwamo kuhakikisha anapata the best start in life and future life opportunities. Hata Tundu Lissu na Mbowe sitashangaa kama watoto wao pia wana passports za USA. Mabilionea wa Russia aka oligarchs nao hupeleka wake zao Marekani kwenda kujifungua ili watoto wapate uraia ( kwa sasa wamepigwa ban ).
 
sijakuelewa kuwa unalalamikia uwepo wa hizo chanjo au vipi?

Ikiwa mtoto wako ana high blood pressure hiyo imetokea ni bahati mbaya. Kuna watoto wanaumwa kila aina za maradhi na hii ni dunia nzima siyo Tz tu.
 
Kinyume kivipi? Nilichomaanisha ni kwamba mkwanja ungekuepo mke angejifungulia US siwashangai hao wenye hela wakiwapeleka wake zao maana wanajali huduma bora kwa watoto wao
Nilitaka kutukana ila bas
 
sijakuelewa kuwa unalalamikia uwepo wa hizo chanjo au vipi?

Ikiwa mtoto wako ana high blood pressure hiyo imetokea ni bahati mbaya. Kuna watoto wanaumwa kila aina za maradhi na hii ni dunia nzima siyo Tz tu.
Sidhani kama nimekua specific kiasi hicho soma tena hoja yangu ndo ucomment tena.
 
Tatizo la Tanzania tumetengenezwa kuwa wanafki na hatupendani,
Si ni zaidi ya mabepari ila tunajitoa ufahamu tu!
 
Nyie ndiyo mnajuwa leo hii

Vigogo wengi wa nchi miaka nenda

Rudi wake zao kujifungulia nje,watoto zao kuwa na pport za kigeni ni kitu cha kawaida

Ova
 
Unashangaa Kwa nini hawakuenda kuzalia Russia au Iran? 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…