Simba wapewe maua yao ..[emoji257][emoji257]Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje?
Unatambulishiwaje jezi na wapanda mlima?Hii taarifa mbona msemaji wa simu alishasema tangu Jumatatu Mkuu.Tena alippst kwenye account yake ya Insta akielezea safari nzima juu ya safari ya kuelekea Kileleni na juu ya utambulishaji.
Lakini bado ni ubunifu... be positive.Kulikuwa na ulazima? Naona ubunifu wa kijinga tu
Kibiashara wamefanikiwa sana kuvutia wateja wao. Hamu imeongezeka maradufu kusubiri jezi. Hapa ulikuwa mkakati wa Kisoko zaidi.Kulikuwa na ulazima gani?