Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje?
---

Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari.

Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.

View attachment 2693475
Teh teh teh 😂😂😂 watoto wa mjini pumzi imekata
 
jezi inayozinduliwa na makuli wa kupanda mlima siyo jezi; ni sanda ambayo hata viongozi na waandishi wa habari hawataki kuwa karibu nayo..
 
Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje?
---

Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi [emoji309] kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari.

Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.

View attachment 2693475
Nafikiri lengo kuu la kuzindua jezi kwenye kilele cha mlima ni marketing. Na wamefanikiwa kuitangaza kwa mawanda mapana sana na level ya kimataifa....
 
Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje?
---

Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari.

Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.

View attachment 2693475
Kupanda ule mlima sio rahisi kama mmavyodhani, labda wakwee chopa hao viongozi...
 
jezi inayozinduliwa na makuli wa kupanda milma siyo jezio; ni sanda ambayo hata viongozi na waandishi wa habari hawatalkki kuwa karibu nayo..
Si mchezo kabisa
 
Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje?
---

Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa Simba kuendelea na safari.

Viongozi na waandishi wa habari wameshuka wapanda mlima wanaendelea.

View attachment 2693475
Kwa hiyo jamaa wao wamerudi mjini kupiga bia🥱🥱

Wamekula per diem za bure pumbavu🤣🤣
 
Viongozi nao wangepanda mbona sio kazi sana wangezindua jezi yao pamoja
 
Back
Top Bottom