Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

Walifikiri watu wanajiendea tu bila matayarisho?

Walitakiwa waingie kambi miezi mitatu. Walifikiri lelemama hiyo?

Washazowea Dar hao, hapa na pale gari.
Si mchezo.
BTW let us try it ONe day
 
Mo anataka kuulia watu Mlimani humo ili waache kumwandama

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilitegemea kumwona ahmed ally pale uhuru peak[emoji1787]

Mbwembwe!! Kibao wameishia njiani halafu ngoja tuone hizo jezi zitakuaje. Wahuni/wafanyabiashara wa kariakoo hawawezi kukupa vitu quality [emoji28]
 
Hili la Kibegi Utopolo limewauma sana...yaani watu ukiwawekea habari ya Kibegi na Siku ya Utopolo wanachagua Kibegi
 
Hawa kweli walistahili kuitwa mbumbumbu! Maana siyo kwa ujinga huu.
 
Hao hata Kupiga pasi au danadana hawajui ,ipo haja sekta hizi ziendeshwe na 50% watu waliopitia soka
 
hao watakaopanda nao wafie njiani kibegi kipotee
 
Walienda kufanyaje Marangu?
 

Attachments

  • 20230720_120905.jpg
    489.1 KB · Views: 1
Si wakodi ata boda boda jamani wafike mpk juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…