Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

Si mchezo Mkuu
 
Teh teh teh 😂😂😂 watoto wa mjini pumzi imekata
 
jezi inayozinduliwa na makuli wa kupanda mlima siyo jezi; ni sanda ambayo hata viongozi na waandishi wa habari hawataki kuwa karibu nayo..
 
Nafikiri lengo kuu la kuzindua jezi kwenye kilele cha mlima ni marketing. Na wamefanikiwa kuitangaza kwa mawanda mapana sana na level ya kimataifa....
 
Kupanda ule mlima sio rahisi kama mmavyodhani, labda wakwee chopa hao viongozi...
 
jezi inayozinduliwa na makuli wa kupanda milma siyo jezio; ni sanda ambayo hata viongozi na waandishi wa habari hawatalkki kuwa karibu nayo..
Si mchezo kabisa
 
Kwa hiyo jamaa wao wamerudi mjini kupiga bia🥱🥱

Wamekula per diem za bure pumbavu🤣🤣
 
Viongozi nao wangepanda mbona sio kazi sana wangezindua jezi yao pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…