Viongozi wa Yanga huwa wanakabidhi akili zao kwa nani?!

Nishaanza kucheka asubuhi yote hii😂😂😂😂
 
Lengo lao unajua ni nn
Kwani wakati kolo anafkisha point 13 makundi manara c alikuwepo huko na alikuwa fronti
Attention tu
 
CPA holder unashindwa kutofautisha watendaji na viongozi?.

Privaldinho na Manara sio viongozi wa Yanga.

Viongozi wa Yanga ni CEO,wale wajumbe watano,Vice President na President mwenyewe.
Mwongo wewe, mbona ali kamwe anajiita kiongozi. Pale utopolo kila mwenye namba ya simu ya hersi ni kiongozi
 
Kwa hiyo huyo Haji Manara na huyo Privaldinho ndiyo Viongozi wa Yanga? Kweli aliyewaita mbumbumbu hakukosea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee Sope unamchukia na humpendi kabisaa, nilitegemea utafurahiaa.

Khaaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…