OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nawaambieni kweli, hawa wanaoropoka humu Juwaani sio watu wadogo. Baadhi ni viongozi kule Utopolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CPA holder unashindwa kutofautisha watendaji na viongozi?.View attachment 2574727
Nawaambieni kweli, hawa wanaoropoka humu Juwaani sio watu wadogo. Baadhi ni viongozi kule Utopolo
Unasumbuliwa na mhaho, Manara ni kiongozi wa Yanga IPI?View attachment 2574727
Nawaambieni kweli, hawa wanaoropoka humu Juwaani sio watu wadogo. Baadhi ni viongozi kule Utopolo
Dog mbwekaji getini naye ahesabiwa mwenye nyumba?Kwa hiyo huyo Hajji Manara na huyo Privaldinho ndiyo Viongozi wa Yanga? Kweli aliyewaita mbumbumbu hakukosea.
Mwongo wewe, mbona ali kamwe anajiita kiongozi. Pale utopolo kila mwenye namba ya simu ya hersi ni kiongoziCPA holder unashindwa kutofautisha watendaji na viongozi?.
Privaldinho na Manara sio viongozi wa Yanga.
Viongozi wa Yanga ni CEO,wale wajumbe watano,Vice President na President mwenyewe.
Haji Manara unamkana sasa kweli wewe kilazaKwa hiyo huyo Haji Manara na huyo Privaldinho ndiyo Viongozi wa Yanga? Kweli aliyewaita mbumbumbu hakukosea.
Wewe na Manara akili ni mojaView attachment 2574727
Nawaambieni kweli, hawa wanaoropoka humu Juwaani sio watu wadogo. Baadhi ni viongozi kule Utopolo
Nyie ndio wale mkiona mtu kavaa koti jeupe mnajua ni dakitariMwongo wewe, mbona ali kamwe anajiita kiongozi. Pale utopolo kila mwenye namba ya simu ya hersi ni kiongozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee Sope unamchukia na humpendi kabisaa, nilitegemea utafurahiaa.Kwa hiyo huyo Haji Manara na huyo Privaldinho ndiyo Viongozi wa Yanga? Kweli aliyewaita mbumbumbu hakukosea.