Viongozi wa Yanga SC ni muda wenu sasa kutoa ufafanuzi kwa mashabiki kwa nini Pacoume hachezi na wakati alishapona majeraha

Caren ongezaa manjonjo na ufundi kwa huyo Pacomee, tenaa mpe limbwataa awee zezetaa na atangazee kustaafu soka kabisa, nipo tayari kukupa limbwata konkiiiii.

Namchukia huyo Pacomee km ninii, yaan bora asipone mazima hayo majeruhi yake. Mxxxiiiiieeeeew!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na juzi hakuwepo. 😁
 
Kuna shabiki anayelipia mishahara wachezaji? Hayo ni majukumu ya viongozi wewe tulia usubirie soka zuri uwanjani na matokeo mazuri uwanjani. Hayo mengine kama shabiki hayakuhusu.
huyo jamaa kapigwa ban ya fifa viongozi wenu hawataki kuweka wazi wana fichaficha
 
Kwani timu haipati ushindi? Mnapenda chokochoko, mchezaji mgonjwa mnataka acheze vipi. Acheni apone vizuri, mwisho wa siku anacheza mechi mbili anaumia.
 
Kwani timu haipati ushindi? Mnapenda chokochoko, mchezaji mgonjwa mnataka acheze vipi. Acheni apone vizuri, mwisho wa siku anacheza mechi mbili anaumia.
hajapona vizuri vipi wewe
huyo jamaa kapona lakini kuna kitu kiipo nyuma ya Pazia kinafichwa aise
 
Hilo swali ulilouliza ungekuwa unaakili zaidi kama ungejiuliza kwanini wanapotaka kumuuza mchezaji hawakusanyi maoni kwa mashabiki. Shabiki ana mipaka yake kwenye swala la mpira sio kila kitu kitakuwa wazi kwa shabiki
nimegundua kuwa huna hoja kama ungekua una hoja ungejikita katika hoja niliyoiwasilisha hapo
 
lazima umuombee njaa maana aliwanyoosha kisawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…