Viongozi wa Yanga SC ni muda wenu sasa kutoa ufafanuzi kwa mashabiki kwa nini Pacoume hachezi na wakati alishapona majeraha

Viongozi wa Yanga SC ni muda wenu sasa kutoa ufafanuzi kwa mashabiki kwa nini Pacoume hachezi na wakati alishapona majeraha

Mtu unaongozwa na hisia zako tu kisha unaandika uzi wa kutaka uongozi wa Yanga uje kukupa majibu, Yanga kwa sasa hawana mechi ngumu ya kimaamuzi yakufanya kocha amtumie mchezaji ambaye hajawa fit 100%
 
Yanga ina kikosi kipana mkuu ,kwahiyo kocha akipanga wachezaji hawezi kuwaweka wote uwanjani ,kuna wengine watakaa benchi ,pakome alipata majeraha au haukuona? Recovery ya majeraha mpaka kucheza inachukua muda hata kama Ally Kamwe amesema yupo sawa.
 
nimegundua kuwa huna hoja kama ungekua una hoja ungejikita katika hoja niliyoiwasilisha hapo
Wewe ndio hauna hoja unataka kuwapangia watu wafanye unachojisikia wewe, na sio mara ya keanza kuleta uzi wa hisia zako. Ulileta uzi kumpangia Gamondi kutowapanga wakina Moloko, Ngushi, Sureboy na Farid Musa na wengineo
 
Yaan angekuwepo huyo mbwaa, mbona tungeoga mengii, namchukia km nn. [emoji23][emoji23][emoji23]

Bora asiponee kabisaa hayo majeruhi yake, anakeraaa hatariiii.
Mechi ijayo mnakutana naye. Labda msiingize timu uwanjani. 😁
 
kwani huwaoni uwanjani hao unaowataja mkuu unapaswa kujikita kwenye hoja
Kwani pacome humuoni uwanjani mkuu au kutokucheza mechi za hapa karibuni unaona ni shida. Makudubela zilipita mechi ngapi hakucheza, kibwana na ngushi zilipita mechi ngapi hawakucheza na haukuomba ufafanuzi. Metacha Manata aliaminiwa kuliko mshery mbona hukuomba ufafanuzi wa mshery.
 
Back
Top Bottom