Viongozi wa Yanga SC ni muda wenu sasa kutoa ufafanuzi kwa mashabiki kwa nini Pacoume hachezi na wakati alishapona majeraha

We jamaaa sizan kama unajua mpira kweliii nina mashaka sana na uwezo wako katika upande huo.

Sishangai kuona hili nalo unasema Eti viongozi waseme pacome why hachezi damn😁😁😁

Uliwahi kuja na Nyuzi za GAMONDI Ameua maana ya kikosi kipana mara hafanyi Rotation kocha alikuja kujibu haya kisomi sana na hata mi nilion hizo akili ulizo nazo ni za mtaani sana na za mtu anaeendeshwa na mihemuko.

Saiv umekuja na la PACOME je ukija kujua kua PACOME alikua na Injury mbaya ambayo asingepona vizur ingeharibu career yake utasema vipi?

Yanga sio Familia yako ujue kila kitu wala Yanga sio Mkeo kua kila kitu uambiwe kua its like this.

Nyie si ndio mara Aziz Ki na Diarra baada ya CAF mlikua mnashinikiza Viongozi waseme wapo wapi?
Kis ujinga wa kishabiki mmeambiwa wameondoka.

Hizi akili CCM watawale tu.
 
Kenge kwenye ubora wako.

Nenda kwenye YANGA APP utapata taarifa zake
 
Mbona huulizi Metacha, Nkane, Mauya, Farid what so special kwa Pacome

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
hao walitolewa maelezo na tuliwaona wanaigia uwanjani kasoro nkane asiyehitajika na kocha lakini wengine wamecheza ,mbona pakome haonekani habri zake zimekua ni za kuunga unga hakuna taarifa maalumu kumuhusu
 
huyo jamaa kapigwa ban ya fifa viongozi wenu hawataki kuweka wazi wana fichaficha
Akili za kijinga kabisa.... Kama amepigwa ban Kwanini yanga hajapokonywa point?, adhabu inatokewa kwa mchezaji badala ya timu?.
 
Akili za kijinga kabisa.... Kama amepigwa ban Kwanini yanga hajapokonywa point?, adhabu inatokewa kwa mchezaji badala ya timu?.
wajitokeze watueleze kwa nini pakome hachezi
 
Yanga ni moja ya timu inayoongoza Afrika nzima kama siyo duniani kuwa na migogoro ya kimkataba na wachezaji wake, ikishindana kwa karibu na Tabora na Singida BS.

Simba na Azam wangeongeza umafia na njaa ya ubingwa wangechokonoa hadi wakajua hiyo hukumu ya FIFA inasemaje na kujua inaathiri vipi mechi za Yanga ambazo imeshacheza msimu huu achilia mbali hizi anazokosa sasa hivi. Ingelikuwa ni Simba wako kwenye position hii, aisee Yanga wanavyojua propaganda na kushikilia jambo, wangelibeba hili hadi TFF waombe poo
 
Kucheza yanga inabidi ujitoe akili ndo maana Mayele anajuta, Morison akawashinda mahakamani, Feisal hataki hata kuwaskia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…