Viongozi wakuu Tanzania wanafanya kazi nzuri sana wapongezwe, waombewe kwa Mungu

Viongozi wakuu Tanzania wanafanya kazi nzuri sana wapongezwe, waombewe kwa Mungu

Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini.

Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana.

Mipango yao inachochea sana maendeleo ya watu na vitu. Tena ni kwa waTanzania wote bila kujali rangi, vyama, dini au kabila zao.

Bali wote wananufaika kwa haki, usawa na matunda ya kazi za viongozi hawa waliobarikiwa na Mungu, kiuchumi, kijamii, kisiasa, kiutamaduni Sayansi na Tecknologia yanaonekana kwa wananchi wenyewe.

Tuwapongeze na kuwatia moyo sana. Wasonge mbele bila kuchoka wala kukata tamaa. Nchi imefunguka, maendeleo yanaonekana, tuchape kazi na tusonge mbele sasa.

Tuwaombea kwa Mungu, afya njema, utimamu wa mwili na Roho katika kuwatumikia waTanzania wote. Aimen.

Mungu Ibariki Tanzania.
Kila mtu apambane na hali yake ,kama ambavyo kila mtu atazikwa peke yake kaburini, haya mambo ya kuombea mtu kisa ni kiongozi sioni tija, ombea taifa kwa ujumla na kila kiumbe kilicho ndani ya taifa ,
 
Back
Top Bottom