nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Kiongozi,Kwanza mikaa yote viongozi Wakiwa Waislamu hao TEC Huwa wanaosumbua hivyo hivyo ila akiwa mtu wa dhehebu lao pamoja na madudu wanakausha.
Kwani saiiz Wana Imani nae? Wao wasiookuwa na Imani wengine watakuwa na Imani ,TEC haiongozi Nchi bwana.
Hakuna walipopambana na Magufuli zaidi ya kumpaka mafutaKiongozi,
Hukuona kipindi cha COVID 19 walivyopambana na Magufuli?? Jiamini mkuu
Ni kweli mimi niliacha kwenda kanisani( Katoliki kwa miaka 6) baada ya kuona Kanisa Katoliki kimekalia kimya Wasiojulikana as if wao hayawahusu.Kwanza mikaa yote viongozi Wakiwa Waislamu hao TEC Huwa wanaosumbua hivyo hivyo ila akiwa mtu wa dhehebu lao pamoja na madudu wanakausha.
Kwani saiiz Wana Imani nae? Wao wasiookuwa na Imani wengine watakuwa na Imani ,TEC haiongozi Nchi bwana.
Halafu wana dhani ukisha toa zawadi ina tumika hapo hapo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti unampa kardinal zawadi ya kanzu aka Joho[emoji848]
Toka lini katolic walishindwa kuwavesha mapadre na makadinali wao?
Harafu anakuja mpuuzi anawaambia covid sijui blaa zisizo na msingi.Ni kweli mimi niliacha kwenda kanisani( Katoliki kwa miaka 6) baada ya kuona Kanisa Katoliki kimekalia kimya Wasiojulikana as if wao hayawahusu.
Ulichosema ni kweli
Acheni kuwakweza TEC mbona wa kawaida sana. Kwanza mle wamejaa walawiti na Malaya watupuTEC haifanani na akina Waitara, Katambi, Mollel, Kafulila au akina Mkumbo; ambao wakiwa na njaa wanapiga sana kelele, wakirushiwa mfupa, ni kushangilia na musifia kama wehu.
TEC haiwezi kunyamazishwa au kubadilishwa katija wanachokiamini kuwa siyo sawa, kwa kurushiwa mchango au kutembelewa maofisini kwao. Kitakachobadilisha msimamo wa TEC ni Serikali na viongozi kuachana na ule mkataba wa kishenzi wa DP.
Na mashogaAcheni kuwakweza TEC mbona wa kawaida sana. Kwanza mle wamejaa walawiti na Malaya watupu
If you are rich and you are not connected to any powerful group or mafia in this World,then you are no body!Hata Mimi naunga mkono,kwani lazima Kila kitu hao TEC waunge mkono? Ni upuuzi kutokubalia kukubaliana na itakuwa Haina maana Sasa ya kuwa na Taifa.
Maendeleo huletwa katikati ya mgongano wa fikra,TEC na RC hawaendeshi hii Nchi ni mambo ya kipuuzi kuwaza hivyo na inajenga mbegu ya chuki kw watu wa madhehebu na dini zingine.
Inakera sana.
Tatizo ni ccm au TEC kwenye hili taifa? Tuanzie hapoWewe ndo muakilishi wa hao TEC au unesemea hisia zako? Kuna mtu ambaye anaweza kugomea CCm hapa Tz kweli, wewe utakua hujui siasa za CCM, TEC inahitaji sana CCM kiliko CCM inavo hitaji TEC, au umesahau pesa za kifisad za Escrow zilipitia Mkombozi benk ambayo ni Benki ya kanisa na Kanisa elipokea fungu, wataka uchunguzi wa hiyo kesi ufufuliwe uone kama mkombozi bank itakuepo tena............acha kushezea state hususani ukiwa Africa.
Ficha ujinga wako,Kanisa Katoliki lilipokea fedha au baadhi ya Maaskofu ndiyo walipewa fedha na Rugemalira? Kwaiyo wewe rafiki yako Jambazi akipata pesa akakupa wewe mshikaji wake,hiyo pesa inakuwa ya kwako wewe binafsi au inakuwa ya familia yenu?Wewe ndo muakilishi wa hao TEC au unesemea hisia zako? Kuna mtu ambaye anaweza kugomea CCm hapa Tz kweli, wewe utakua hujui siasa za CCM, TEC inahitaji sana CCM kiliko CCM inavo hitaji TEC, au umesahau pesa za kifisad za Escrow zilipitia Mkombozi benk ambayo ni Benki ya kanisa na Kanisa elipokea fungu, wataka uchunguzi wa hiyo kesi ufufuliwe uone kama mkombozi bank itakuepo tena............acha kushezea state hususani ukiwa Africa.
Mkuu unawafananisha ama?Kanisa la mitume 😂😂😂 CCM ni tatizo lingine, wasukuma saivi kimyaaa baada ya kahadaiwa na yule vice PM, TEC ni suala la muda kuunga mkono juhudi za chama cha mapinduzi
Nyama ya Nguruwe siyo haramu,haramu jiwe Sheikh,likipikwa haliivi!!Saa 100 si aliwahonga 100m juzi mbona hawakuzikataa
Unatumia nguvu kubwa saana kupambana na RC..wew ni kama punje ndogo saana kwao na uwezo wako ni ndogo mno..kwani wao wamemlazimisha mtu kuwafuata ila wew unahangaika kupingana nao,acha watu waamue,kama wew umeamua kuifuata serikali yako sawa na walioamua kuwafuata TEC sawa..kati Yako wew na TEC nani mwenye nguvu,kunywa maji ulaleHarafu anakuja mpuuzi anawaambia covid sijui blaa zisizo na msingi.
Nimefanya observation kuanzia kipindi Cha Mkapa nimegundua Rais akiwa wa upande wa TEc Wala hutosikia choko choko ndio maana sipendi Rais Samia kujipendekeza Kwa TEC,Kwa nini wanateka nyara mamlaka ya Uongozi wa Nchi hii?
Matakwa yapi hayo walivyo tupangia watanzania?TEC wangetumia muda wao kujadili juu ya uwezekano wa kuwaruhusu maaskofu na mapadri kuoa badala ya kutupangia Watanzania matakwa yao na wanatakiwa wajue kwamba hawana haki hiyo.
Kulawitiwa kwako na mkatoliki hakusababishi TEC kuwa walawiti.Acheni kuwakweza TEC mbona wa kawaida sana. Kwanza mle wamejaa walawiti na Malaya watupu
Wasiipangie serikali namna ya kufanya kuhusu mkataba na DP World na kuhusu kuoa waoe ili kupunguza kashfa za ulawiti huko makanisani kwao.Matakwa yapi hayo walivyo tupangia watanzania?
Pia suala la kuoa linakuhusu nini wewe? Wamekukataza kuoa?