Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Na jana katuonesha kile anachotamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaj wa ulaya waojifunga huwa wanapigwa wanauzwa?Umeona kijana wenu kawabeba
Muulize Karius baada ya zile blunder pale ujogooni kama aliendelea kubakiWachezaj wa ulaya waojifunga huwa wanapigwa wanauzwa?
ligi imeisha upande wenu😂 amaAcha upumbavu wewe utopolo. Simba hatoshuka kileleni hadi ligi iishe
Chasambi amedhihirisha kama haipendi Simba SCChasambi kati ya Simba SC na Yanga SC ni shabiki wa timu gani? Unaweza kuwa na mchezaji shabiki wa timu pinzani hayo ndio matokeo yake