choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Tatizo sio kusifia, tatizo ni namna alivyowadisvalue wenzakeKaka hauko informed
Kevin de bruyne alishawahi msifia beki wa liverpool van djik ( tena admirable)
Washabiki wa man city walikuja juu ? Hapana
Marcus rashford mara kadhaa amekuwa akimsifia kevin de bruyne, alifukuzwa? Mashabiki wali mind?
Van djik at one time aliwa kumu admire erling haland wa manc city? Alifukuzwa ? Mashabik wali mind?
Harry kane akiwa totenham, ali mua dminre c.ronaldo wakati akiwa man u, wali mind? Alifukuzwa?
Ulaya yanatokea sana, na mashabiki hawapo emotional kiasi cha kumchagulia mchezaji nini cha kusema na nani wa kumpenda
Kwenye professionalism kuna wale watu wamekuzidi ,hata kama wako upande wa tofauti au pinzani but una admire na wanakuwa insparation
Haimaanish unadharau ulipo, bali unataka kufika level zile au zaidi.
Punguzeni kuwa emotional , ni ushamba
Alionesha dharau ya waziwazi kwa wenzie, wala shida sio kumsifia max.