kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Hajakosea popote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuongeatu kufunga aaahIla Chasambi anaongea Sana sijui mzalamo?😂😂😂
Kwaiyo kosa Gani amefanya hapo? Kusema ukweli ni kosa? Ulitaka aongeze kitachokufurahisha wewe na wenzako na sio ukweli wake? Mashabiki wa kitanzania ni ovyo kweli kweli!Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.
Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Kama ungekuwa unajua maana ya role model usingemlaumu Chasambi!Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.
Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Wachawi wa yanga mmeanza.Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.
Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Kosa la huyo dogo ni lipi?Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.
Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Vipi kama Nzengeli akihamia Simba, hapo Chasambi atakuwa sahihi?Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.
Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Rage ajengewe sanamuLadrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.
Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Akili mgando hizo,bila shaka wewe ni nyumamwiko.Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli.
Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo unasema ndani ya Simba huna role model.
Uongozi wangu wa Simba Chasambi hana uwezo wowote, amejiona yeye tayari ni mtu na nusu, mpelekeni Geita Gold huko akasifie wachezaji wa Yanga.
Mleta uzi ni mtopolo mwenzakoHuo ni wendawazimu,kama style of play inamvutia asiseme? Hii ndiyo maana hali ya mbumbumbu