SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Chasambi ananifurahisha anavyopambana akiwa ndani ya uwanja ila nikimuangaliaga na kumsikiliza nje ya uwanja kuna kitu hakijawahi kukaa sawa kwangu.
Yeye ni mdogo sana kutoa kauli kama hiyo, msilinganishe na kauli za kila Mayele au Aucho ambazo kwanza hazifanani na kauli yake ila pia tayari walikuwa ni wazoefu na wana mamlaka ya kutoa kauli walizotoa. Pia naamini walizitoa hizo kauli zao msimu ukiwa umeisha siyo katikati ya vita ya ubingwa.
Pia kawadharau wachezaji wenzake wote kwa kusema hakuna mchezaji anayemuinspaya katika timu nzima. Tatu unaenda kumbig up mchezaji wa timu shindani ambaye uko katika mbio naye za ubingwa.
Labda ni ukosefu wa elimu ila inarudi kule kule, ana chembechembe za dharau.
Mwenzake Karabaka kapigwa pini na inawezekana kabisa ni kwa ujinga kama huu.