Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

Nyani haoni kundule ,unakumbuka kabla ya Magufuli kuingia madarakani hali ilvyokua serikalini?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa tunazungumzia nafasi za uongozi ndani ya chama tena Chadema hizi habari za CDF na Mawaziri ni nafasi za uongozi ndani ya CCM?
 
Na polepole nae ni wa huko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
PM, DGIS wa kitengo wanatoka wap?
 
Huko nako wamesoma ,shida si Ilikuwa ni elimu jamani. Kuna muda mramba aliwajibu bungeni kuwa wachaga kujazana TRA ni kwa sababu wamesoma ama sio logic.
Na kanda ya ziwa kama haujui ndo kiini cha Tanzania ilipo. Nyie shukuruni wamishionari kuwabeba kuwaletea elimu na huduma za jamii kiujumla. Afu side wajanja . lete maedeleo yenu kabla hawajaja Hayo jamaa.na uzuri waliweka kwenu makao makuu mana weather iliwapendeza.
 
Tumerudi tena kwenye ukabila miaka 58 ya uhuru tunaongelea ukabila! chadema kiliitwa chama cha wakristo kipindi cha dr slaa sasa ivi kinaitwa chama cha kikabila so sad sana.
 
hapa tunazungumzia nafasi za uongozi ndani ya chama tena Chadema hizi habari za CDF na Mawaziri ni nafasi za uongozi ndani ya CCM?
Hahahahah,dah! Kweli TWAWEZA wazidi kukusanya details

Msingi wa swali ni uongozi kitaifa yaani unahoji uongozi wa chadema kuwa hauonyeshi Utaifa

Na Mimi kwa kujibu swali lako ndo nakuja kuoanisha uongozi wa kitaifa kwa ccm na serikali yake kama uongozi uliopo umezingatia Utaifa ama ukanda na ukabila

Na je uongozi chadema na uongozi ccm na ukanda wapi Luna negative impact kwa jamii?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa maji...kanda yaziwa

Waziri wa afya.. kanda ya ziwa

Katibu mkuu maji....kanda ya ziwa

Naibu waziri maji...kanda ya ziwa

Waziri wa sheria ...kanda ya ziwa

Waziri mambo yanje na Naibu wake...kanda yaziwa


Tiss ....kanda yaziwa

Takukuru....kanda yaziwa
Katibu mkuu ccm...kanda yaziwa
Katibu mwenezi ccm....kanda ya ziwa
NOTE..
Ccm ni chama cha ukombozi
Chadema nichama cha kibiashara ila ukiingia mkenge utajua mwenyewe muulize Sumayi. Sumu haionjwi kwa ulimi.
 
Chadema ni chama ambacho kinajipambanua kuwa cha mfano wa kuigwa, sasa tukianza kukilinganisha na CCM maana yake kikingia madarakani hakitakuwa tofauti na CCM?
 
Ghafla Mnyika John Mnyika kageuka kuwa MChagga mmesahau hata Pambalu ni mchagga hata Salim Mwalimu ni mchaga na pia hata Heche pia na Tundu Antipas Lissu ni mchagga
 

Sasa tunajuaje kama wewe sio mbaguzi kama wewe ndiyo unajali kabila ni kama unajichanganya mwenyewe. Wangechagua watu kwa ukanda vilevile ni unaguzi. Kwanini usiseme hakuna wanawake?
 
Chadema ni chama cha wachagga


Sent from my iPhone using Tapatalk
Nimkosa makubwa sana wanayafanya na kuyarudia rudia, yani wanashindwa kuchagua viongoz waki Taifa wao wanachagua viongoz wa umoja wawatu wa kaskazini, chama kinatakiwa kichague viongoz kutoka pande zote za nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nitumie fursa kukupongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama kikuu cha upinzani. Hii inapelekea sasa Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema kuwa chini ya Spika Ndugai pale bungeni kwa hii miezi sita iliyobaki.

Pia nichukue fursa hii adhimu kwa heshima na taadhima kukukumbusha kuwa mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli siyo dhaifu hivyo kuwa makini na ulimi wako na uache kukurupuka.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
 
JMK alikuwa dhaifu, huyu ni dikteta na anawazimu inajulikana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…