Viongozi wasio na Hekima waliibuka kipindi cha JPM na kisha kipindi cha Samia. Hii ni aibu

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili.
Nepotisme and Favoritisme ni LAANA

Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza !

Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni
impatient… and Immature .

Je nini kifanyike ili tupate viongozi wenye busara, hekima na
Midomo mifupi?

A simple survey utagundua viongozi vijana ndio wanaongoza kwa KUSUTANA MAJUKWAANI. Tuendelee kuwaamini vijana ?

Ni Aibu kubwa sana na inaonesha hulka mbaya za Anaewateua.
Mchengerwa
Chalamila
Makonda
Hizi ni takataka zitolewe, sinaongoza kusutana na kupingana majukwaani utasema ni Chama tofauti na serikali tofauti.

What a shame
 
Attachments

  • 32B016E8-251C-4ABD-8C15-0D9EA4961BB0.mp4
    20.8 MB

Nadhani ni muhimu zaidi kwa wasio husika na malumbano hayo ni kusonga mbele kwenye kazi na majukumu yao bila kubabaika na kuzozana au kulumbana kwa wabinafsi hao ndani au nje ya vyama vyao vya siasa, kwasababu kubabaika nao ni kujichelewesha mwenyewe 🐒
 
Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili.
Nepotisme and Favoritisme ni LAANA

Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza !

Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni
impatient… and Immature .

Je nini kifanyike ili tupate viongozi wenye busara, hekima na
Midomo mifupi?

A simple survey utagundua viongozi vijana ndio wanaongoza kwa KUSUTANA MAJUKWAANI. Tuendelee kuwaamini vijana ?

Ni Aibu kubwa sana na inaonesha hulka mbaya za Anaewateua.
Mchengerwa
Chalamila
Makonda
Hizi ni takataka zitolewe, sinaongoza kusutana na kupingana majukwaani utasema ni Chama tofauti na serikali tofauti.

What a shame
Hawa wapuuzi wawili Makonda na Gambo watakuja kuuana maana wote ni washirikina sana.
 
Bashite ameamua kuhakikisha gambo hapumui,...anamkalia kooni na hatimae ampokonye na ubunge!
 
Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili.
Nepotisme and Favoritisme ni LAANA

Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza !

Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni
impatient… and Immature .

Je nini kifanyike ili tupate viongozi wenye busara, hekima na
Midomo mifupi?

A simple survey utagundua viongozi vijana ndio wanaongoza kwa KUSUTANA MAJUKWAANI. Tuendelee kuwaamini vijana ?

Ni Aibu kubwa sana na inaonesha hulka mbaya za Anaewateua.
Mchengerwa
Chalamila
Makonda
Hizi ni takataka zitolewe, sinaongoza kusutana na kupingana majukwaani utasema ni Chama tofauti na serikali tofauti.

What a shame
Hata Samia aliibuliwa kipindi hicho na kuendelea kuwahifadhi wenzake hao mnaosema hawana busara wala maana. Ndiyo maana sera ya sasa ni uchawa. Mchengerwa ni mkwe wa Samia na hagusiki kama alivyokuwa Makonda wakati wa Magu hadi wengine wakadhani si mtoto rizikii.
 
Mtu aliyekua na nafasi ya nepotism ni Mwalimu Nyerere lakini aliamua kufanya social inclusion na kila kabila liliwakilishwa.
Kweli kabisa. Ngoja tuone;
-Gavana Nyirabu - Mara
  • Mwanasheria Mkuu Warioba - Mara
  • Mkuu wa Majeshi Musuguri - Mara
Makatibu Wakuu Viongozi - Apiyo na Butiku - Mara

Mmmh! Unaweza kuwa na point!
 
Mwalimu hadi anakufa Mara haikuwa na Régional Hospital

Mwalim hakuwa na Favaritism au Népotisme kama hawa wahuni wa sasa
 
Hii inaonesha uwezo wa bosi wao ni mdogo na hajitambui.maana mteuzi alitakiwa achukue hatua
Yes ni Upuuzi na Viongozi hawa hawafai kuwa mfano kwa vijana kama sisi chipukizi.At my âge of 36 siwezi kufanya huo ujinga wa hao watu wa above 40
 
Back
Top Bottom