Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 5,233
- 12,398
- Thread starter
- #21
Mpaka anakufa kule Mara hakuna Regioonal Hosp, hakuna hata Airport yaMtu aliyekua na nafasi ya nepotism ni Mwalimu Nyerere lakini aliamua kufanya social inclusion na kila kabila liliwakilishwa.
Maana …..ivo
Mwalimu kafa hana mali kama za hawa wahuni wa sasa
Nikija siku kuwa Rais, cha kwanza nita inspect Account za marais wastaafu wote za nje na ndani wsniambie hizo Trilion wametoa wapi
Mwalim kafa wala hakuandaa watoto wake eti kuja kushika nchi baadae kama alivofanya mwinyi na anavofanya JK