Nadhani ni muhimu zaidi kwa wasio husika na malumbano hayo ni kusonga mbele kwenye kazi na majukumu yao bila kubabaika na kuzozana au kulumbana kwa wabinafsi hao ndani au nje ya vyama vyao vya siasa, kwasababu kubabaika nao ni kujichelewesha mwenyewe 🐒Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili.
Nepotisme and Favoritisme ni LAANA
Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza !
Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni
impatient… and Immature .
Je nini kifanyike ili tupate viongozi wenye busara, hekima na
Midomo mifupi?
A simple survey utagundua viongozi vijana ndio wanaongoza kwa KUSUTANA MAJUKWAANI. Tuendelee kuwaamini vijana ?
Ni Aibu kubwa sana na inaonesha hulka mbaya za Anaewateua.
Mchengerwa
Chalamila
Makonda
Hizi ni takataka zitolewe, sinaongoza kusutana na kupingana majukwaani utasema ni Chama tofauti na serikali tofauti.
What a shame
Hawa wapuuzi wawili Makonda na Gambo watakuja kuuana maana wote ni washirikina sana.Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili.
Nepotisme and Favoritisme ni LAANA
Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza !
Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni
impatient… and Immature .
Je nini kifanyike ili tupate viongozi wenye busara, hekima na
Midomo mifupi?
A simple survey utagundua viongozi vijana ndio wanaongoza kwa KUSUTANA MAJUKWAANI. Tuendelee kuwaamini vijana ?
Ni Aibu kubwa sana na inaonesha hulka mbaya za Anaewateua.
Mchengerwa
Chalamila
Makonda
Hizi ni takataka zitolewe, sinaongoza kusutana na kupingana majukwaani utasema ni Chama tofauti na serikali tofauti.
What a shame
Hata Samia aliibuliwa kipindi hicho na kuendelea kuwahifadhi wenzake hao mnaosema hawana busara wala maana. Ndiyo maana sera ya sasa ni uchawa. Mchengerwa ni mkwe wa Samia na hagusiki kama alivyokuwa Makonda wakati wa Magu hadi wengine wakadhani si mtoto rizikii.Tabia ya Viongozi kusemana kwenye Media na Majukwa ni moja ya Ishara CCM ni chama cha Mfu na hakina maadili.
Nepotisme and Favoritisme ni LAANA
Nchi haina maendeleo but viongozi wanasutana kama wakewenza !
Heshima ya Utumishi wa Umma imepotea sana. Pia vijana wengi wanaopewa nafasi ni
impatient… and Immature .
Je nini kifanyike ili tupate viongozi wenye busara, hekima na
Midomo mifupi?
A simple survey utagundua viongozi vijana ndio wanaongoza kwa KUSUTANA MAJUKWAANI. Tuendelee kuwaamini vijana ?
Ni Aibu kubwa sana na inaonesha hulka mbaya za Anaewateua.
Mchengerwa
Chalamila
Makonda
Hizi ni takataka zitolewe, sinaongoza kusutana na kupingana majukwaani utasema ni Chama tofauti na serikali tofauti.
What a shame
Kweli kabisa. Ngoja tuone;Mtu aliyekua na nafasi ya nepotism ni Mwalimu Nyerere lakini aliamua kufanya social inclusion na kila kabila liliwakilishwa.
YaaaniMtu aliyekua na nafasi ya nepotism ni Mwalimu Nyerere lakini aliamua kufanya social inclusion na kila kabila liliwakilishwa.
Na shida ni moja makonda anatumia ukuu wa mkoa kama kinga lakini hawa wote wajinga wajingaGambo atakuwa anakimbia sehemu anayokuwepo bashite
Mwalimu hadi anakufa Mara haikuwa na Régional HospitalKweli kabisa. Ngoja tuone;
-Gavana Nyirabu - Mara
Makatibu Wakuu Viongozi - Apiyo na Butiku - Mara
- Mwanasheria Mkuu Warioba - Mara
- Mkuu wa Majeshi Musuguri - Mara
Mmmh! Unaweza kuwa na point!
😀😀😀Hawa ni ndugu zako, unalolote la kusema MUHESHIMIWA? Tlatlah
Yes ni Upuuzi na Viongozi hawa hawafai kuwa mfano kwa vijana kama sisi chipukizi.At my âge of 36 siwezi kufanya huo ujinga wa hao watu wa above 40Hii inaonesha uwezo wa bosi wao ni mdogo na hajitambui.maana mteuzi alitakiwa achukue hatua
Kazi kwlei kweliHii inaonesha uwezo wa bosi wao ni mdogo na hajitambui.maana mteuzi alitakiwa achukue hatua
Ameshasahau yaliyompata juzi juzi.....Binadamu ni wepesi kusahauBashite ameamua kuhakikisha gambo hapumui,...anamkalia kooni na hatimae ampokonye na ubunge!