Mpaka anakufa kule Mara hakuna Regioonal Hosp, hakuna hata Airport yaMtu aliyekua na nafasi ya nepotism ni Mwalimu Nyerere lakini aliamua kufanya social inclusion na kila kabila liliwakilishwa.
Chupi duhShida ya watanzania wengi ni wasahaulifu sana. Miaka michache tu huyo Gambo katika ubora wake akiwa mkuu wa wilaya alinyanyasa na kudhalilisha wengi sana mpaka alidiriki kumuambia hadharani mtumishi mmoja wa kike wa halmashauri kuwa ana digrii ya chupi. Kwa kipimo kile kile kilichoongezeka kiasi leo anapimiwa mbele ya bunge na mbele ya halaiki ya watu wa Arusha kwa kuitwa mwongo mbele yao.
Na mbaya zaidi viongozi wenzake nao hawajifunzi kuwa ni suala la muda tu kadri wanavyompimia Gambo ndivyo hivyo nao watakuja kupimiwa sawa sawa na hivyo au hata kuzidi kiasi. Kiongozi mzuri ni yule anayejua kuwa uongozi ni kama koti la kuazima tu hivyo madaraka huja na kupita. Kwani hata hii dunia tunamoishi tunapita tu hakuna atakayeishi milele.
Haswa Konda maana karithi vya babu yake bashit.,wengi hawajui haya mamboHawa wapuuzi wawili Makonda na Gambo watakuja kuuana maana wote ni washirikina sana.
Umesema ukweli na kuonyaShida ya watanzania wengi ni wasahaulifu sana. Miaka michache tu huyo Gambo katika ubora wake akiwa mkuu wa wilaya alinyanyasa na kudhalilisha wengi sana mpaka alidiriki kumuambia hadharani mtumishi mmoja wa kike wa halmashauri kuwa ana digrii ya chupi. Kwa kipimo kile kile kilichoongezeka kiasi leo anapimiwa mbele ya bunge na mbele ya halaiki ya watu wa Arusha kwa kuitwa mwongo mbele yao.