Viongozi wengine wa kijeshi wa Iran wameuwawa na IDF

Viongozi wengine wa kijeshi wa Iran wameuwawa na IDF

Wanajitahidi kupiga makelele Ili waonekane wanafanya cha maana,wengi waliosema wamewaua taarifa zinaonesha wapo hai,hadi leo bado wanapiga vinu vya nuclear ambavyo walituambia wamevisambaratisha awali
Mfano
 
"Wengi waliosema wamewaua taarifa zinaonesha wapo hai"

Tuanzie apo kwenye Wengi tupe wa 3 Tu kwenye hao wengine walio hai
20250617_173321.jpg
 
Kwa nini Israel inaua viongozi tu?
Dealing with think tank only, vita inaweza kwisha kirahisi namna hiyo. Yaani wachora ramani na wataalamu wa excursion ya plan plus vifaa vya kijeshi na viwanda vyao; mchezo unaisha hivo.
Binafsi ningependa vita iishe mapema kwasababu ya bei ya mafuta
 
Back
Top Bottom