Viongozi wengine wa kijeshi wa Iran wameuwawa na IDF

Viongozi wengine wa kijeshi wa Iran wameuwawa na IDF

Attachments

  • Screenshot_2025-06-21-12-52-13-563.jpg
    Screenshot_2025-06-21-12-52-13-563.jpg
    301 KB · Views: 20
  • Screenshot_2025-06-21-12-57-36-666.jpg
    Screenshot_2025-06-21-12-57-36-666.jpg
    343.3 KB · Views: 20
  • Screenshot_2025-06-21-10-02-55-443.jpg
    Screenshot_2025-06-21-10-02-55-443.jpg
    266.7 KB · Views: 15

Attachments

  • Screenshot_2025-06-17-23-58-20-836.jpg
    Screenshot_2025-06-17-23-58-20-836.jpg
    227.8 KB · Views: 23
  • Screenshot_2025-06-16-18-06-40-032.jpg
    Screenshot_2025-06-16-18-06-40-032.jpg
    366.5 KB · Views: 21
  • Screenshot_2025-06-14-13-04-02-950.jpg
    Screenshot_2025-06-14-13-04-02-950.jpg
    353.9 KB · Views: 18
Danganyaneni tu wewe na makobazi wenzako,it is pretty clear Turkey ni kobazi hivyo sishangai huko kuropoka kwake
Na washington post ni kobazi?.. uturuki ni jirani wa Iran,anafuatilia mtanange siyo kupitia social media bali but espionage cables
 
Ni wazayuni sio mazayuni tumia lugha nzuri sisi tukiitwa matanzania utapenda?!
Watanzania ni watu waliostarabika wana huruma na upendo kwa watu wa mataifa mengine,kuwaita matanzania ni kuwadhulumu.
Wazayuni ni watu washenzi,katili,wasio na huruma wala upendo kwa watu wa mataifa mengine, kuitwa Mazayuni ni haki yao.
 
Israel hataki kutoka from his lain; mipango aliojiwekea ndio anatembea nayo; hapigi popote, anapiga alipopakusudia. Kuua raia sio kipaumbele, strategic war
Kwa hiyo Raia na watoto wa kipalestina ni viongozi na ndio anaowakusudia.
 
Wanajitahidi kupiga makelele Ili waonekane wanafanya cha maana,wengi waliosema wamewaua taarifa zinaonesha wapo hai,hadi leo bado wanapiga vinu vya nuclear ambavyo walituambia wamevisambaratisha awali
Rafiki AI yangu anajibu:

Unfortunately, recent reports indicate that Iran has experienced the deaths of several high-ranking military leaders, including those in the Chief of Staff position, due to Israeli airstrikes.

  • General Mohammad Bagheri, who was previously the chief of staff of Iran's armed forces, was killed.
  • Following his death, Major General Gholam Ali Rashid was appointed as the new head of the Khatam al-Anbiya Central Headquarters, a key command center, but was also reportedly killed in subsequent strikes.
  • Most recently, Major General Ali Shadmani was appointed as the "War-Time Chief of Staff" and was also reportedly killed in an Israeli airstrike in Tehran.
As a result, Iran has appointed Abdolrahim Mousavi as the new chief of staff of the armed forces.
 
Nikisikia KOBAZII zinauwawa napata faraja Sanaa.

# Weeping all terrorist
Kama kwenye weeping ulimaanisha wiping nadhani umekosea..., huenda hawa magaidi wa leo walisababishwa na kilichotokea kabla; Vita ya Ideology haipiganwi kwa mabavu bali kwa Elimu; kuacha kuonyesha wazi wazi manyanyaso na at worst propaganda (yaani usionekane directly unachofanya kinaharibu); You must appear to be JUST.....; Kwahio kwa majibu rahisi kinachofanyika sio Wiping.., bali ni Cultivating and Planting Magaidi we Kesho...

Ni kweli na sahihi nilitaka kumaanisha "A CRY FOR ALL TERRORIST" ni sahihi Ila Kuna sera na ideology kwenye uislamu ni mbaya Sanaa mfano kwenye Ile ahadi ya mabikra 72 wengi hujilipua na hata kuto kuogopa kifo kabisa yaani.

NAKUUNGA MKONO MAANA TOKA UDOGONI MWETU VITA VYA ISRAEL NA PALESTINE HAVIJAWAI KOMA ENZI ZA KUJITOA MUHANGA.

Mfano kikundi Cha Islamic states kimewai nukuliwa na BBC news
Kiki sema,

Islamic State 'We love death as you love life' - BBC News

#KILIO KWA MAGAIDI WOTE
 
Kwa hiyo Raia na watoto wa kipalestina ni viongozi na ndio anaowakusudia.
Uzuri mmoja since day 1 vita inaanza, nyuzi zote zipo humu. IDF hawajawahi kushambulia sehemu yenye raia bila kutoa taarifa. Ubishi na ukatiri wa Hamas ndio umesababisha yote hayo. Mara zote amekua anawa alert raia kuondoka maeneo fulani na anasema kabisa mahali kwa kukimbilia; mbona nyuzi zipo humu mkuu?
 
Ni kweli na sahihi nilitaka kumaanisha "A CRY FOR ALL TERRORIST" ni sahihi Ila Kuna sera na ideology kwenye uislamu ni mbaya Sanaa mfano kwenye Ile ahadi ya mabikra 72 wengi hujilipua na hata kuto kuogopa kifo kabisa yaani.
Je tunaondoa fikra hii kwa kuwapiga risasi huko watu wanne ili wazaliwe wengine kumi ? Au tunaonyesha kwamba hii fikra ni illegical na haina maana kabisa ?

Iran penyewe kuna watu wengi hususan vijana wa sasa hawakubaliana na Utawala wa Theocracy / Authoritarian na walikuwa wanapingana na Serikali yao na slowly but surely ili Serikali ingekuwa toppled kwa watu kuona kinachoelezewa hakina mashiko..., Kuna kipindi duniani Serikali na Dini / Imani vilikuwa intertwined ila watu wakakaa na kuona umuhimu wa Separation of Church and State...; Kwahio haya mambo hayakutumia mabavu sababu mtu anayedhani anaonewa ukitumia mabavu kumuua huyu huenda akapata sympathizer zaidi; Case in Point Osama aliweza kubomoa Ubalozi wa USA (Tanzania na Kenya - Bila kukutana na waliofanya walichofanya; Just Idea)
NAKUUNGA MKONO MAANA TOKA UDOGONI MWETU VITA VYA ISRAEL NA PALESTINE HAVIJAWAI KOMA ENZI ZA KUJITOA MUHANGA.

Mfano kikundi Cha Islamic states kimewai nukuliwa na BBC news
Kiki sema,

Islamic State 'We love death as you love life' - BBC News

#KILIO KWA MAGAIDI WOTE
Haya mambo ya Imani hii karne ya Sayansi na Teknolojia yangekufa kifo cha kawaida kama tungejikita kwenye Haki na kutokuwapa wachache fodder za ku brainwash watu utawala wa Kiimani ungekufa / utakufa kifo cha kawaida na badala ya watu wa nje kwenda kutungua wengine bora wape msaada watu wao wenyewe ambao wana fikra za kujenga...; Amini nakwambia kinachofanyika leo kitaitafuta dunia karne na karne zijazo....
 
Back
Top Bottom