Hivi Israel hatumii Chakula / Njaa / Misaada kama nyenzo ya Vita ?!!! Achana na hio kubomoa sehemu na kuua civilians.....Uzuri mmoja since day 1 vita inaanza, nyuzi zote zipo humu. IDF hawajawahi kushambulia sehemu yenye raia bila kutoa taarifa. Ubishi na ukatiri wa Hamas ndio umesababisha yote hayo. Mara zote amekua anawa alert raia kuondoka maeneo fulani na anasema kabisa mahali kwa kukimbilia; mbona nyuzi zipo humu mkuu?
Sisi tumestarabika kwa watu kutekwa, kufirwa, kuumizwa na kupotezwa?!Watanzania ni watu waliostarabika wana huruma na upendo kwa watu wa mataifa mengine,kuwaita matanzania ni kuwadhulumu.
Wazayuni ni watu washenzi,katili,wasio na huruma wala upendo kwa watu wa mataifa mengine, kuitwa Mazayuni ni haki yao.
Kabla ya October 07, Palestine walikua wanapata wapi umeme, maji na chakula? Unafahamu pia Wapalestina wengi walikua wameajiriwa kwenye mamlaka za Israel yena Wapalestina wa kutosha? Ukiachana na kivuli au chuki na mahaba ya kidini, Wapalestina wamepoteza vingi zaidi kwasababu ya ujinga wa Hamas na Iran.Hivi Israel hatumii Chakula / Njaa / Misaada kama nyenzo ya Vita ?!!! Achana na hio kubomoa sehemu na kuua civilians.....
![]()
Israel is accused of the gravest war crimes in Gaza
Distinguished lawyers, senior humanitarians and diplomats tell Jeremy Bowen why they are increasingly concerned about the catastrophe inside Gaza.www.bbc.com
Kumbuka hio Sio Palestinian News Outlet au Al Jazeera bali ni BBC
Nani anatetea Hamas au mpuuzi wa aina yoyote ile, au unajua kitendo / vitendo vinavyofanyika vinazalisha Hamas wangapi ?, Au unadhani Hamas ni nini ? Wakati Israel wananyooshwa kila kona na Antisemitism na Hitler kuwaweka katika concentration camps kila mtu mwenye akili alipiga makelele kwamba sio sawa..., Upuuzi kama huu ndio ulipelekea kuboresha Geneva Convention.., Kwahio hata vita vina sheria za kipi unaweza kufanya na kipi huwezi kufanya.., Kwahio alichofanya Israel na kuendelea kufanya kinakiuka Geneva Conventions...Kabla ya October 07, Palestine walikua wanapata wapi umeme, maji na chakula? Unafahamu pia Wapalestina wengi walikua wameajiriwa kwenye mamlaka za Israel yena Wapalestina wa kutosha? Ukiachana na kivuli au chuki na mahaba ya kidini, Wapalestina wamepoteza vingi zaidi kwasababu ya ujinga wa Hamas na Iran.
Hivi unajua kukiwa na vita shughuli zote zinasimama ? Hivi unajua huwa kuna misaada kwa waathirika Kwahio kama ulikuwa hujui Israel ndio anazuia wadau kuwapelekea Chakula hao waathirika... kwahio its a man made famine...Kabla ya October 07, Palestine walikua wanapata wapi umeme, maji na chakula?
Sasa mnataka wafanye nini na wako vitani. Mnataka waue wanawake na watoto na ikitokea hivyo bado mtakuja tena kulialia humu.Kwa nini Israel inaua viongozi tu?
Umebadiri topic ya tulichokua tunajadiri; anyway...., wengine mnasomaga wapi nyuzi zenu? Israel alizuia baada ya kuona misosi haiendi kwa walengwa, wanachukua Hamas na kuhifadhi kwa matumizi yao binafsi na viongozi wao while the citizens are staving. Ipo video humu jukwaani, tena juzi tu kabla Israel na Iran hawajakiwasha; Wapalestina wanachukua chakula huku wanamshukuru Trump na Netanyahu, itafute, ipo hapaHivi unajua kukiwa na vita shughuli zote zinasimama ? Hivi unajua huwa kuna misaada kwa waathirika Kwahio kama ulikuwa hujui Israel ndio anazuia wadau kuwapelekea Chakula hao waathirika... kwahio its a man made famine...
Usibishane na mpumbavuTaja waliohai Kato ya hoo
Nimebadili Topic wapi ? Humu kwenye huu uzi nimetoa comments tatu tu na moja wapo ni wewe umenijibu na mimi nikakujibuUmebadiri topic ya tulichokua tunajadiri; anyway....,
Kwahio baada ya kuzuia wananchi ndio wameshiba ? Yaani Israel ndio wanawapenda wananchi wa Palestina zaidi kwahio solution ni Chakula kisiende kabisa ?wengine mnasomaga wapi nyuzi zenu? Israel alizuia baada ya kuona misosi haiendi kwa walengwa, wanachukua Hamas na kuhifadhi kwa matumizi yao binafsi na viongozi wao while the citizens are staving.
Kwahio ukiona Video moja ndio unaona kila kitu ni sawa ? Tena Video ambayo imerushwa na upande mmoja ? Hivi unajua hata maana ya Propaganda ?Ipo video humu jukwaani, tena juzi tu kabla Israel na Iran hawajakiwasha; Wapalestina wanachukua chakula huku wanamshukuru Trump na Netanyahu, itafute, ipo hapa
Ndio maana nakwambia unabadiri sana topic bro, kuna sehemu yeyote nimeandika kwamba Palestians are not starving? Umeandika kwamba "Israel anazuia misaada isiwafikie Wapalestina" nimekujibu, "it's Hamas ndio wanachukua wao chakula and leaving people starving; hiki ndio nilichokisema. Hadi hapo nimekosea wapi? So huamini kama Hamas wanafanya hivo?Nimebadili Topic wapi ? Humu kwenye huu uzi nimetoa comments tatu tu na moja wapo ni wewe umenijibu na mimi nikakujibu
Kwahio baada ya kuzuia wananchi ndio wameshiba ? Yaani Israel ndio wanawapenda wananchi wa Palestina zaidi kwahio solution ni Chakula kisiende kabisa ?
Kwahio News zote ni waongo na Taasisi zote ni waongo Israel ndio wakweli hakuna starvation ? Yaani Hamas ndio wanakula peke yao ili watu wao wakose chakula ? Kwamba BBC na UN wote ni waongo
![]()
Gaza being subjected to forced starvation, top UN official tells BBC
Tom Fletcher, the under-secretary general of humanitarian affairs, says "we're seeing food set on the borders and not being allowed in".www.bbc.com
Kwahio ukiona Video moja ndio unaona kila kitu ni sawa ? Tena Video ambayo imerushwa na upande mmoja ? Hivi unajua hata maana ya Propaganda ?
Kwahio hakuna watu wana starve Palestina wote ni actors na wala Israel haizuii chakula kwenda Gaza ?
Yaani Hamas wanachukua Chakula ambacho hakipo (kimezuiliwa na Israel )? Hivi unaona mtiririko huu una make sense ? Au hauna habari kwamba Israel waliweka food Blockade ? Hivi in what world it is acceptable kutumia chakula kama nyenzo ya Vita ?Ndio maana nakwambia unabadiri sana topic bro, kuna sehemu yeyote nimeandika kwamba Palestians are not starving? Umeandika kwamba "Israel anazuia misaada isiwafikie Wapalestina" nimekujibu, "it's Hamas ndio wanachukua wao chakula and leaving people starving; hiki ndio nilichokisema. Hadi hapo nimekosea wapi? So huamini kama Hamas wanafanya hivo?
Ni kama Osama tu yupo hai mpaka sasa.Hao wote wako hai hizo ni fake news