Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
Kila ubaya utalipwa , angalieni marehemu waliomtanguliaKwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
Ndiyo kinachofuataKwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
Anafanya makusudi sababu ana kingaAkiwa na uono kimo cha mbilikimo atafanya hivyo.. Ila atambue kesho haina mwenyewe
Kwanza ni kushusha hadhi ya mahakama na dharau kubwa sn kwa mahakamaKwa manufaa ya nani hasa? Bunge, Serikali....... kwa mawazo yangu hii The comedy haimsaidii yeye wala bunge badala yake atabaki na drama mwa muda wote mpaka 2025 kitu ambacho hakina manufaa kwa Bunge wala nchi
Nakumbuka Chiluba alifanya mambo ya kijinga wakati wake akiringia kinga.Anafanya makusudi sababu ana kinga
CCM imejaa mashetani tupuNakumbuka Chiluba alifanya mambo ya kijinga wakati wake akiringia kinga.
Alipotoka sheria ikabadilishwa na akajikuta hana kinga na chamoto akakipata.
Hawa wapuuzi waache wadhani TZ ni mafala tuu siku zote
Afanye afanyavyo lakini ajue historia haitakuwa na huruma naye kama Spika mbovu mwenye shahada ya uzamivu Phd ya mchongo kama Msukuma!Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
Kwani tayari wameshafurumishwa Bungeni!Bado unaendelea na ramli zako? Subiri kesho morning session utapata majibu yako.
HahahahaBado unaendelea na ramli zako? Subiri kesho morning session utapata majibu yako.
Thabutu..kwa maelezo yake Spika Tulia ameji-commit kuwa, hukumu ikitoka atatekeleza, na mahakama haiwajibiki kumtumia makala au taarifa ya hukumu.
..wasiichezee mahakama kwasababu kunaweza kujengeka utamaduni wa kutoiamini mahakama, na kudharau maamuzi yake.