Vipi ikatokea Spika Tulia akija na mbinu mpya? Wamekata Rufaa, nasubiria majibu ya rufaa huku muda ukisogea mara 2025 hiyoo

Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?

wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see

britanicca

Ajifunze kwa Ndugai. Alisema hashauriki na kwamba ni kichaa lakini mwishowe alilia nimekosa Sana.
 
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?

wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see

britanicca
Kila ubaya utalipwa , angalieni marehemu waliomtangulia
 
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?

wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see

britanicca

Kwa manufaa ya nani hasa? Bunge, Serikali....... kwa mawazo yangu hii The comedy haimsaidii yeye wala bunge badala yake atabaki na drama mwa muda wote mpaka 2025 kitu ambacho hakina manufaa kwa Bunge wala nchi
 
Ndiyo kinachofuata
 
Kwanza ni kushusha hadhi ya mahakama na dharau kubwa sn kwa mahakama
 
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?

wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see

britanicca
Afanye afanyavyo lakini ajue historia haitakuwa na huruma naye kama Spika mbovu mwenye shahada ya uzamivu Phd ya mchongo kama Msukuma!
 
Mahakama imeshasema wale wanawake sio wabunge tena sasa huyo spika atawalindaje tena.

Katiba mpya lazima spika asiwe mwanachama wa chama chochote cha siasa maanake tumeona bunge lilivyokuwa takataka chini ya maspika hawa wa ccm. Bure kabisa.
 
..kwa maelezo yake Spika Tulia ameji-commit kuwa, hukumu ikitoka atatekeleza, na mahakama haiwajibiki kumtumia makala au taarifa ya hukumu.

..wasiichezee mahakama kwasababu kunaweza kujengeka utamaduni wa kutoiamini mahakama, na kudharau maamuzi yake.
Thabutu
 
Hawa mpaka 2025 na baadae karibu wote, kama viongozi system hii itaendelea basi ujue covid19 wote watapata kazi za uteuzi. Kuna mabaloz, wakuu wilaya n.k wenyewe walijua hilo. Kwani Shida nn si ajila tu.
 
Nimefurahi ktk mikutano yote ya CDM Kanda ya ziwa wamepuuza issue ya COVID 19,

CDM imeonyesha ukomavu, kuhangaika na siasa za mahakamani ni kupoteza muda,

Kujenga chama ground ni move nzuri sana.

Mungu ibariki TANZANIA,

Mungu ibariki CDM. Aamen.
 
Back
Top Bottom