which operation? operation itakayowafyeka FDLR (if they don't disarm) ndio ile ile iliyowafyeka M23. Je wewe/Rwanda/kagame mlikubaliana nayo wakati ule? Vigeugeu at your best! Tulivyoenda mlikuwa mkipinga vikali, sasa hivi ndio mnashadadia, why?Mkuu. walishashindwa. Kilichobaki ni kuwafyeka hao remnants wa FDLR and see where they will run to. Unadhani ile operation ilikuwa na malengo gani? fill in the blanks.
jMali....hawa ndio watanzania "wote" wanaomchukia Kagame. These sungusungu ni intellectual who can separate between pumba zako na mchele....big up sungusungu.
... Kwa Majibu Yetu Kama Haya Ndo Yanafanya Rwanda Ijenge Reli Kutoka Mombasa
Uchumi gani waliotuzidi Rwanda? Jamani Per capita income sio uchumi, Uchumi ni zaidi ya hicho kitu. Kwa maana hiyo kwako wewe Norway imeizidi Marekani au China kiuchumi?. Ghana ni sawa imetuzidi kwa uchumi mkubwa lakini sio Rwanda. Halafu huyo Kagame asingeweza kusema hayo kama asingekuwa na ukosefu wa ufahamu. Demographics za TZ ni tofauti na Rwanda asingefanya chochote. Yeye approach yake inaelekeana na ya Nyerere lakini bado hawezi kumfikia hata kidogo Nyerere. Nyerere pamoja na kubana uhuru wa kujieleza lakini alikuwa anatumia hoja ktk kuhakikisha mambo yake yanatekelezwa lakini huyo kagame hana chochote zaidi ya nguvu ya dola. Halafu mnadiriki kumpa kredit kwamba ndio angeiweza TZ, kwani sisi tunataka kuendesha nchi yetu kwa misingi ya kidikteta au kifalme? Maendeleo sio yana dimensions nyingi: Uchumi i.e. per capita, miundombinu, Nishati, Uzalishaji, Standard of living. Demokrasia i.e. uhuru wa kujieleza, uhuru wa habari, uhuru wa kushiriki ktk siasa yaani kugombea na kupiga kura, Utawala wa sheria. Maendeleo ya kijamii i.e. kupiga vita ukabila na udini, kuimarisha muingiliano miongoni mwa wananchi. Political stability i.e. utulivu na vile nchi kuweza kubadili uongozi bila machafuko, na vile vile nchi kuweza kuwa na Potential leaders na sio kutegemea kiongozi mmoja tu mpaka afe halafu anaenda kutafutwa mtoto wake. Sasa muangalie kagame uone ameachieve nini na amekwama wapi na sio kumsifu kwasababu tu figure za Per capita.kweli wewe siyo great thinker ni little thinker haujui nchi yako inavitu gani inavyovivunia ambapo nchi nyingne wanatamani wawe navyo lakini hawana na wametuzidi kiuchumi mfano hiyo hiyo rwanda na ghana nk
Mtu hawezi kunishawishi kuwa kwa hali iliyopo Rwanda kuna umoja. Jamani hata kama mko kazini kuna mambo hayaingii akilini. Rwanda hakuna umoja ila kuna utulivu unaotokana na mkono wa chuma. Haiwezekani kuwe na umoja wakati kuna wanajamii wanawindwa kila mahali duniani wauwawe, mbaya zaidi wanakuwa branded kwamba wana ideology ya kutaka kuua Watutsi. Hao mnaowawinda wanatoka Rwanda na mama zao na babu zao wanauchungu sana na ndugu zao mnaowauwa kila mahali. hilo ni swala la wakati tu, hata Sadam Husein aliyekuwa anatoka kwenye jamii ndogo kama Kagame aliendelea kujidanganya kuwa washia wako pamoja na wasuni. Ghadafi nae hakukubali kuwa kuna walibya hawakubaliani nae mpaka akawaita panya lakini kilichomkuta ni siri yake. Wanyarwanda kuna fact lazima muikubali kuwa Kagame ameruka stage moja ktk process ya kuiunganisha Rwanda, Ameruka maridhiano badala yake amewafanya wahutu wote ni wakosefu wanatakiwa kuwaomba msamaha watutsi. Sioni kabisa Watutsi wakiwaomba msamaha wahutu kwa kikundi cha waasi wa RPF kuwauwa wahutu wasiokuwa na hatia akiwemo rais habyarimana. HAMNA UMOJA RWANDA KWA SASA huo ndio ukweli.FDLR wameshashinda? hahahaha...in your dreams my friend. In real life the FDLR have failed miserably. Wanyarwanda kwa umoja wao wamewakataa wadhalimu wa FDLR na siasa zao za chuki na utengano wa kikabila.
Usilete taarifa za vijiweni, nenda kajisomee taarifa rasmi ujue reli kutoka mombasa mpaka Kigali itajengwaje, nani atachangia nini.... Kwa Majibu Yetu Kama Haya Ndo Yanafanya Rwanda Ijenge Reli Kutoka Mombasa
Achana na hao akina kagame wanatafuta kila aina ya data kujustify uwepo wao. Hivi hujui pia wamepitisha kanuni mtu hatakiwi kutembea pekupeku kigali inaonesha walikuwa bado wanapekua.Kwanza hayo mambo ya faini za usafi yanafanyika MJINI KIGALI TU, sio Rwanda nzima. Halafu kama suala ni hilo, mbona hiyo tayari inafanyika moshi? kwenye mkoa wa kilimanjaro ambao size yake pekee tayari ni nusu ya nchi nzima ya Rwanda?...Lakini husikii wabongo tunajisifia for that. mambo madogo tu hayo.
cc: NasDaz
Tayari FDLR wameshashinda hata wakivunjika leo hii. basi tu kwa sababu hautaelewa hata ukifafanuliwa.
Amekuonyesha passport, cheti cha kuzaliwa au?
which operation? operation itakayowafyeka FDLR (if they don't disarm) ndio ile ile iliyowafyeka M23. Je wewe/Rwanda/kagame mlikubaliana nayo wakati ule? Vigeugeu at your best! Tulivyoenda mlikuwa mkipinga vikali, sasa hivi ndio mnashadadia, why?
kwa ka-Nchi kake kalivyo kadogo ni kweli angeweza kutoa huduma bure, lakin si kwa ukubwa wa TZ.
Mkuu hiyo millioni 3 uliyotaja is kweli gari ndogo inalipiwa jumla dollar 350 watu waclearing wanakula dollar 50 hadi 100 kwahiyo 200 yadollar inabaki bandarini fanya marekebisho
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sasa jamani Rwanda yenyewe ina watu wangapi hadi ijafananishe na Tanzania kimaendeleo,Slim Boy anavyosema nisawa na kusema kwamfano wilaya ya Kinondoni ingekuwa inamiliki bandari ya Dar Es Salam basi wana kino wote wangepata huduma bure,je utalinganisha matumizi ya mtu mmoja na watu 100kwa vyovyote watu 100 mahitaji yao ni makubwa kuliko ya mtu mmoja,rwanda kitu gani bana ukipiga filimbi tu wote wanasikia
Mtu hawezi kunishawishi kuwa kwa hali iliyopo Rwanda kuna umoja. Jamani hata kama mko kazini kuna mambo hayaingii akilini. Rwanda hakuna umoja ila kuna utulivu unaotokana na mkono wa chuma. Haiwezekani kuwe na umoja wakati kuna wanajamii wanawindwa kila mahali duniani wauwawe, mbaya zaidi wanakuwa branded kwamba wana ideology ya kutaka kuua Watutsi. Hao mnaowawinda wanatoka Rwanda na mama zao na babu zao wanauchungu sana na ndugu zao mnaowauwa kila mahali. hilo ni swala la wakati tu, hata Sadam Husein aliyekuwa anatoka kwenye jamii ndogo kama Kagame aliendelea kujidanganya kuwa washia wako pamoja na wasuni. Ghadafi nae hakukubali kuwa kuna walibya hawakubaliani nae mpaka akawaita panya lakini kilichomkuta ni siri yake. Wanyarwanda kuna fact lazima muikubali kuwa Kagame ameruka stage moja ktk process ya kuiunganisha Rwanda, Ameruka maridhiano badala yake amewafanya wahutu wote ni wakosefu wanatakiwa kuwaomba msamaha watutsi. Sioni kabisa Watutsi wakiwaomba msamaha wahutu kwa kikundi cha waasi wa RPF kuwauwa wahutu wasiokuwa na hatia akiwemo rais habyarimana. HAMNA UMOJA RWANDA KWA SASA huo ndio ukweli.
1. where in the FDLR constitution, publication, any recorded speech, utterance etc, did you get that ideology of "ethnic cleansing and Hutu power"? seriously, umeipata wapi hiyo? Ukishindwa kuthibitisha then kubali wewe ndio una mipango miovu dhidi ya FDLR ndio maana unawasingizia dhambi kubwa kama hiyo.
2. Do know that The co-founder of FDLR is now HEAD OF PRISONS in your government? Inawezekana mwanzilishi wa Al-qaeda "akatubu" halafu akapewa ukuu wa majeshi nchini Marekani?
3. Nime-estimate 80%, na nadhani its actually more than that, kwa sababu theoretically kila anayempinga kagame ni FDLR. Mashtaka yote yanayowakabili watu kama FORMER AMBASSADOR Theogene Rudasingwa, FORMER ARMY CHIEF Kayumba Nyamwasa, the late FORMER SPY CHIEF karegeya, na sasa other prominent RPF members, ambao walikuwa wanapambana na FDLR juzi juzi tu hapa ni "collaboration" with FDLR hiyo hiyo.
Now kama watutsi tena extremist ones like Nyamwasa, like Rose kabuye and others wanashirikiana na FDLR, ordinary tutsis, tena watutsi waliopoteza wazazi na ndugu kwenye "genocide" kama msanii kizito mihigo, nao pia wanashirikiana na FDLR, hapo ethnic cleansing inaingiaje? Are all these tutsis stupid enough to "collaborate" with people who WANT TO ETHNICALLY CLEANSE THEM? Hebu fafanua hapa.
inaelekea kagame anafanya kampeni kua rais wa tanzania. watutsi hawana mpaka wao wanapenda kua marais popote. kagame alikua jenerali wa jeshi uganda halafu sasa ni rais rwanda. wako watutsi wengine walikua mawaziri au wanajeshi uganda rwanda congo etc. sasa hii kampeni ya kagame ya urais wa tanzania sijui kampeni kwa nini anaanza saa hizi. uchaguzi tz ni 2015 na kipindi chake rwanda kinaisha 2017!Vyombo mbalimbali vya habari viliripoti kuhusu kauli hii ya Raisi wa Rwanda Paul Kagame kuwa Kuwepo kwa Bandari ya Dar Tanzania ilipaswa kupaa kabisa kiuchumi hasa kutokana na kuzungukwa na nchi kadhaa zinazo tegemea kusafirisha mizigo yake.
Zipo nchi nyingi duniani ambazo kwa bandari pekee zimepata kupaa kiuchumi miongoni mwao ikiwamo Hongkong ,Singapore,Uholanzi nk.Lakini kwanini Tanzania Hatuoni mabadiliko ya kiuchumi yakiwa dhahiri kutokana na bandari hii?
Miradi mingi ya kiuchumi ni mikopo toka kwa wahisani.Barabara kama ya DOM-IRINGA ni mkopo toka Benki ya Africa,na miradi mingi ni mikopo toka kwa wahisani kiasi sasa kila Mtanzania mpaka mtoto mdogo anadaiwa zaidi ya Tsh 450000(laki nne na nusu).Fedha za mapato kama ya bandari hii huenda wapi?Kuna harufu ya ufisadi wa mapato ya bandari kwa kiasi kikubwa.
Napata shaka kuona kuna benk kama M Benki imbayo tawi lake limo ndani ya jengo la ofisi za mapato.Mtu analipia pale na document yake ni halali palepale na mzigo unatoka.
Hii benki niya nani?Benki zingine ukilipia document yake mpaka mpaka iende hazina ku verify ndipo uchukue mzigo.
Naona kama mafisadi wananjia zao za kuchota hela kirahisi kama kupitia benki hii,labda ndiyo maana hatuoni mabadiliko yoyote ya kiuchumi.
Gari moja ndogo inayo pita kwenda nchi nyingine hulipia sichini ya 3000000/=(milioni tatu) na gari pale zinapita kama maji tu.Pita barabara ya Dar-Tunduma uone gari zenye number ya IT utapata picha ya hoja hii pata picha ya 300.
jMali....hawa ndio watanzania "wote" wanaomchukia Kagame. These sungusungu ni intellectual who can separate between pumba zako na mchele....big up sungusungu.
Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.