Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Mkuu. walishashindwa. Kilichobaki ni kuwafyeka hao remnants wa FDLR and see where they will run to. Unadhani ile operation ilikuwa na malengo gani? fill in the blanks.
which operation? operation itakayowafyeka FDLR (if they don't disarm) ndio ile ile iliyowafyeka M23. Je wewe/Rwanda/kagame mlikubaliana nayo wakati ule? Vigeugeu at your best! Tulivyoenda mlikuwa mkipinga vikali, sasa hivi ndio mnashadadia, why?
 
kweli wewe siyo great thinker ni little thinker haujui nchi yako inavitu gani inavyovivunia ambapo nchi nyingne wanatamani wawe navyo lakini hawana na wametuzidi kiuchumi mfano hiyo hiyo rwanda na ghana nk
Uchumi gani waliotuzidi Rwanda? Jamani Per capita income sio uchumi, Uchumi ni zaidi ya hicho kitu. Kwa maana hiyo kwako wewe Norway imeizidi Marekani au China kiuchumi?. Ghana ni sawa imetuzidi kwa uchumi mkubwa lakini sio Rwanda. Halafu huyo Kagame asingeweza kusema hayo kama asingekuwa na ukosefu wa ufahamu. Demographics za TZ ni tofauti na Rwanda asingefanya chochote. Yeye approach yake inaelekeana na ya Nyerere lakini bado hawezi kumfikia hata kidogo Nyerere. Nyerere pamoja na kubana uhuru wa kujieleza lakini alikuwa anatumia hoja ktk kuhakikisha mambo yake yanatekelezwa lakini huyo kagame hana chochote zaidi ya nguvu ya dola. Halafu mnadiriki kumpa kredit kwamba ndio angeiweza TZ, kwani sisi tunataka kuendesha nchi yetu kwa misingi ya kidikteta au kifalme? Maendeleo sio yana dimensions nyingi: Uchumi i.e. per capita, miundombinu, Nishati, Uzalishaji, Standard of living. Demokrasia i.e. uhuru wa kujieleza, uhuru wa habari, uhuru wa kushiriki ktk siasa yaani kugombea na kupiga kura, Utawala wa sheria. Maendeleo ya kijamii i.e. kupiga vita ukabila na udini, kuimarisha muingiliano miongoni mwa wananchi. Political stability i.e. utulivu na vile nchi kuweza kubadili uongozi bila machafuko, na vile vile nchi kuweza kuwa na Potential leaders na sio kutegemea kiongozi mmoja tu mpaka afe halafu anaenda kutafutwa mtoto wake. Sasa muangalie kagame uone ameachieve nini na amekwama wapi na sio kumsifu kwasababu tu figure za Per capita.
 
FDLR wameshashinda? hahahaha...in your dreams my friend. In real life the FDLR have failed miserably. Wanyarwanda kwa umoja wao wamewakataa wadhalimu wa FDLR na siasa zao za chuki na utengano wa kikabila.
Mtu hawezi kunishawishi kuwa kwa hali iliyopo Rwanda kuna umoja. Jamani hata kama mko kazini kuna mambo hayaingii akilini. Rwanda hakuna umoja ila kuna utulivu unaotokana na mkono wa chuma. Haiwezekani kuwe na umoja wakati kuna wanajamii wanawindwa kila mahali duniani wauwawe, mbaya zaidi wanakuwa branded kwamba wana ideology ya kutaka kuua Watutsi. Hao mnaowawinda wanatoka Rwanda na mama zao na babu zao wanauchungu sana na ndugu zao mnaowauwa kila mahali. hilo ni swala la wakati tu, hata Sadam Husein aliyekuwa anatoka kwenye jamii ndogo kama Kagame aliendelea kujidanganya kuwa washia wako pamoja na wasuni. Ghadafi nae hakukubali kuwa kuna walibya hawakubaliani nae mpaka akawaita panya lakini kilichomkuta ni siri yake. Wanyarwanda kuna fact lazima muikubali kuwa Kagame ameruka stage moja ktk process ya kuiunganisha Rwanda, Ameruka maridhiano badala yake amewafanya wahutu wote ni wakosefu wanatakiwa kuwaomba msamaha watutsi. Sioni kabisa Watutsi wakiwaomba msamaha wahutu kwa kikundi cha waasi wa RPF kuwauwa wahutu wasiokuwa na hatia akiwemo rais habyarimana. HAMNA UMOJA RWANDA KWA SASA huo ndio ukweli.
 
... Kwa Majibu Yetu Kama Haya Ndo Yanafanya Rwanda Ijenge Reli Kutoka Mombasa
Usilete taarifa za vijiweni, nenda kajisomee taarifa rasmi ujue reli kutoka mombasa mpaka Kigali itajengwaje, nani atachangia nini.
 
Kwanza hayo mambo ya faini za usafi yanafanyika MJINI KIGALI TU, sio Rwanda nzima. Halafu kama suala ni hilo, mbona hiyo tayari inafanyika moshi? kwenye mkoa wa kilimanjaro ambao size yake pekee tayari ni nusu ya nchi nzima ya Rwanda?...Lakini husikii wabongo tunajisifia for that. mambo madogo tu hayo.

cc: NasDaz
Achana na hao akina kagame wanatafuta kila aina ya data kujustify uwepo wao. Hivi hujui pia wamepitisha kanuni mtu hatakiwi kutembea pekupeku kigali inaonesha walikuwa bado wanapekua.
 
Sasa jamani Rwanda yenyewe ina watu wangapi hadi ijafananishe na Tanzania kimaendeleo,Slim Boy anavyosema nisawa na kusema kwamfano wilaya ya Kinondoni ingekuwa inamiliki bandari ya Dar Es Salam basi wana kino wote wangepata huduma bure,je utalinganisha matumizi ya mtu mmoja na watu 100kwa vyovyote watu 100 mahitaji yao ni makubwa kuliko ya mtu mmoja,rwanda kitu gani bana ukipiga filimbi tu wote wanasikia
 
Amekuonyesha passport, cheti cha kuzaliwa au?

Onyesha kwanza chako wewe unaejiita mtanzania. Pleease, "you can fool all the people some time, but you cannot fool all the people all the time".
 
which operation? operation itakayowafyeka FDLR (if they don't disarm) ndio ile ile iliyowafyeka M23. Je wewe/Rwanda/kagame mlikubaliana nayo wakati ule? Vigeugeu at your best! Tulivyoenda mlikuwa mkipinga vikali, sasa hivi ndio mnashadadia, why?

Tatizo ni kucheza na wewe Chess wakati moves zako ni za mcheza Draft.
 
Semeni yote still kuna ukweli ndani yake,tz bado tupo nyuma mambo flani ilitakuwa tufanye zaidi ya hapa mfano reli itakiwa ijengwe km mkulu alivyosema ataongeza reli nyingine katika hii iliyopo ya reli ya kati ila till now kimya,bado kuna vitu vya kujifunza kutoka rwanda
 
Mkuu hiyo millioni 3 uliyotaja is kweli gari ndogo inalipiwa jumla dollar 350 watu waclearing wanakula dollar 50 hadi 100 kwahiyo 200 yadollar inabaki bandarini fanya marekebisho


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Vip na tra wanapiga ngapi hapo
 
Sasa jamani Rwanda yenyewe ina watu wangapi hadi ijafananishe na Tanzania kimaendeleo,Slim Boy anavyosema nisawa na kusema kwamfano wilaya ya Kinondoni ingekuwa inamiliki bandari ya Dar Es Salam basi wana kino wote wangepata huduma bure,je utalinganisha matumizi ya mtu mmoja na watu 100kwa vyovyote watu 100 mahitaji yao ni makubwa kuliko ya mtu mmoja,rwanda kitu gani bana ukipiga filimbi tu wote wanasikia

Watu milioni kumi na moja (11 milioni)
 
Mtu hawezi kunishawishi kuwa kwa hali iliyopo Rwanda kuna umoja. Jamani hata kama mko kazini kuna mambo hayaingii akilini. Rwanda hakuna umoja ila kuna utulivu unaotokana na mkono wa chuma. Haiwezekani kuwe na umoja wakati kuna wanajamii wanawindwa kila mahali duniani wauwawe, mbaya zaidi wanakuwa branded kwamba wana ideology ya kutaka kuua Watutsi. Hao mnaowawinda wanatoka Rwanda na mama zao na babu zao wanauchungu sana na ndugu zao mnaowauwa kila mahali. hilo ni swala la wakati tu, hata Sadam Husein aliyekuwa anatoka kwenye jamii ndogo kama Kagame aliendelea kujidanganya kuwa washia wako pamoja na wasuni. Ghadafi nae hakukubali kuwa kuna walibya hawakubaliani nae mpaka akawaita panya lakini kilichomkuta ni siri yake. Wanyarwanda kuna fact lazima muikubali kuwa Kagame ameruka stage moja ktk process ya kuiunganisha Rwanda, Ameruka maridhiano badala yake amewafanya wahutu wote ni wakosefu wanatakiwa kuwaomba msamaha watutsi. Sioni kabisa Watutsi wakiwaomba msamaha wahutu kwa kikundi cha waasi wa RPF kuwauwa wahutu wasiokuwa na hatia akiwemo rais habyarimana. HAMNA UMOJA RWANDA KWA SASA huo ndio ukweli.

Ndugu Kibona unatumiwa na waasi wa FDLR kupotosha ukweli. Kwanza mimi ni m-Tanzania, hilo liwe wazi. Pili mambo mengi unayoyaongelea ni ya hisia zaidi na si uhalisia. Kuna watu wanatishia kuigawa Rwanda kwa ukabila. Hawa lazima wawindwe na kumalizwa kwa kuwa wanatishia mustakabali wa taifa la watu zaidi ya milioni kumi na moja kwa maslahi binafsi. Si kweli kuwa wahutu hawampendi Rais Kagame. Kumbuka wengi wa wanyarwanda ni Hutu. Na wengi wanaishi Rwanda. In fact if you ask me,most Rwandese in the diaspora (not in exile i.e. FDLR and RNC) are Tutsi. Serikali inaendeshwa kwa umakini mkubwa. Maendeleo yanawafikia watu wote regardless of ethnicity. Hivi mlitaka Kagame aoe Hutu ndio muamini in reconciliation. Let's not be naive here. What went down in Rwanda was based on deep-seeded hatred on ethnic lines. Had it not been for the RPA liberating Rwanda, a lot more people would have died.

Did some sectors of the RPA engage in revenge killings? not surprising. Would you not? Nevertheless, these were isolated incidents because Gen Kagame being the disciplinarian he is, never brooked such barbaric idiocy. Kagame angetaka kuwamaliza Hutu angeweza lakini haikuwa mpango wake wala wa RPF/A. Suala la kuomba msamaha ni hiari kwa wale wenye moyo wa kizalendo na wenye ucha Munga kutubu. Imani zote zinatuelekeza tutubu. Hakuna anayelazimishwa. Hii yote ni sehemu ya reconciliation. It takes two to tango. A million people died ndugu Kibona. And they were butchered by the very same people reaping the fruits of Kagame's leadership. And you have the audacity to question Kagame on his stellar measures to bring together a people divided along ethnic lines?? What gives? Rais Habyarimana was killed by Hutu power because they did not like the power sharing agreement signed in Arusha. Genocide was planned. Training of interahamwe na mapanga yaliletwa karibu mwaka mzima kabla ya genocide. Ndege ya Habyarimana ilitunguliwa na Mistral S.A.M's. Records show that the French gave FAR 20 mistral missiles, two of which were used against the president. Kagame hahusiki. Even if he was culpable, so what? Habyarimana was a legit target (Rwanda was at war).

Would Juvenal give a hoot had the tables been turned and it was Kagame who was killed? I highly doubt it. Ndugu Kibona unaonekana ni msomi mzuri but you need to shed your warped views on Kagame (and I suspect you are anti-Tutsi). You exude characteristics of what I call "laptop genocidaire". Acha mkuu acha kabisa.
 
1. where in the FDLR constitution, publication, any recorded speech, utterance etc, did you get that ideology of "ethnic cleansing and Hutu power"? seriously, umeipata wapi hiyo? Ukishindwa kuthibitisha then kubali wewe ndio una mipango miovu dhidi ya FDLR ndio maana unawasingizia dhambi kubwa kama hiyo.

2. Do know that The co-founder of FDLR is now HEAD OF PRISONS in your government? Inawezekana mwanzilishi wa Al-qaeda "akatubu" halafu akapewa ukuu wa majeshi nchini Marekani?

3. Nime-estimate 80%, na nadhani its actually more than that, kwa sababu theoretically kila anayempinga kagame ni FDLR. Mashtaka yote yanayowakabili watu kama FORMER AMBASSADOR Theogene Rudasingwa, FORMER ARMY CHIEF Kayumba Nyamwasa, the late FORMER SPY CHIEF karegeya, na sasa other prominent RPF members, ambao walikuwa wanapambana na FDLR juzi juzi tu hapa ni "collaboration" with FDLR hiyo hiyo.
Now kama watutsi tena extremist ones like Nyamwasa, like Rose kabuye and others wanashirikiana na FDLR, ordinary tutsis, tena watutsi waliopoteza wazazi na ndugu kwenye "genocide" kama msanii kizito mihigo, nao pia wanashirikiana na FDLR, hapo ethnic cleansing inaingiaje? Are all these tutsis stupid enough to "collaborate" with people who WANT TO ETHNICALLY CLEANSE THEM? Hebu fafanua hapa.

1. FDLR comprises of the same people who wrote the Hutu power manifesto. Don't be naive kid, FDLR is made up of remnants from ex-FAR and interahamwe and their offsprings.

2.Katika u-kristo mtu akitubu anasamehewa. Gen R saw the light and decided to repent and was welcome back home. Kapewa institution nyeti ya prison. Hii inaonyesha moyo wa kusamehe na kujenga taifa kwa umoja kama sera ya chama na nchi. Asingepewa mngesema Rwanda's leadership is purely Tutsi. Jamani mnataka nini?

3.Siye kila ampingaye Kagame ni FDLR. Hayo ni maneno yako. Wakina Rudasingwa, Nyamwasa, Karegeya were selfish corrupt ungrateful officials who are in cahoots with FDLR and other detractors to overthrow the democratically elected government in Kigali.

By the way, Rose Kabuye has not been arrested. Usichanganye ulevi na pombe. Aliyehojiwa ni mume wake, Capt. Kabuye. Kwanza sidhani kama Col Kabuye is even in the army or politics these days. Sijamsikia miaka kadhaa sasa.
 
Vyombo mbalimbali vya habari viliripoti kuhusu kauli hii ya Raisi wa Rwanda Paul Kagame kuwa Kuwepo kwa Bandari ya Dar Tanzania ilipaswa kupaa kabisa kiuchumi hasa kutokana na kuzungukwa na nchi kadhaa zinazo tegemea kusafirisha mizigo yake.

Zipo nchi nyingi duniani ambazo kwa bandari pekee zimepata kupaa kiuchumi miongoni mwao ikiwamo Hongkong ,Singapore,Uholanzi nk.Lakini kwanini Tanzania Hatuoni mabadiliko ya kiuchumi yakiwa dhahiri kutokana na bandari hii?

Miradi mingi ya kiuchumi ni mikopo toka kwa wahisani.Barabara kama ya DOM-IRINGA ni mkopo toka Benki ya Africa,na miradi mingi ni mikopo toka kwa wahisani kiasi sasa kila Mtanzania mpaka mtoto mdogo anadaiwa zaidi ya Tsh 450000(laki nne na nusu).Fedha za mapato kama ya bandari hii huenda wapi?Kuna harufu ya ufisadi wa mapato ya bandari kwa kiasi kikubwa.

Napata shaka kuona kuna benk kama M Benki imbayo tawi lake limo ndani ya jengo la ofisi za mapato.Mtu analipia pale na document yake ni halali palepale na mzigo unatoka.

Hii benki niya nani?Benki zingine ukilipia document yake mpaka mpaka iende hazina ku verify ndipo uchukue mzigo.

Naona kama mafisadi wananjia zao za kuchota hela kirahisi kama kupitia benki hii,labda ndiyo maana hatuoni mabadiliko yoyote ya kiuchumi.

Gari moja ndogo inayo pita kwenda nchi nyingine hulipia sichini ya 3000000/=(milioni tatu) na gari pale zinapita kama maji tu.Pita barabara ya Dar-Tunduma uone gari zenye number ya IT utapata picha ya hoja hii pata picha ya 300.
inaelekea kagame anafanya kampeni kua rais wa tanzania. watutsi hawana mpaka wao wanapenda kua marais popote. kagame alikua jenerali wa jeshi uganda halafu sasa ni rais rwanda. wako watutsi wengine walikua mawaziri au wanajeshi uganda rwanda congo etc. sasa hii kampeni ya kagame ya urais wa tanzania sijui kampeni kwa nini anaanza saa hizi. uchaguzi tz ni 2015 na kipindi chake rwanda kinaisha 2017!
 
Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.

Nadhani vijana wamechoka na wamekatishwa tamaa kwa ufisadi, wizi, uongozi mbovu, matumizi mabaya ya fedha na madaraka, ukosefu wa ajira, ukosefu wa elimu bora na huduma za muhimu kwa jamii. Hizo ni chache kati ya mengi yalowakatisha vijana tamaa
 
Back
Top Bottom