jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,404
- 4,973
jMali the Hutu manifesto was instrumental in propagating the genocide. Utasema na Kangura lilianzishwa mwaka 1957. Stop spinning dude. Hakuna ninachojipinga, siye kila anayempinga Kagame ni FDLR kama unavyodai. Ila hawa waasi wanashirikiana na FDLR katika lengo lao dhalimu la kujaribu kuuangusha utawala wa kidemokrasia wa Kagame. Wanashindwa vibaya kwa kuwa Kagame anakubalika na wanyarwanda walio wengi. Col Kabuye is Rose, her husband is a Captain na ndiye aliyehojiwa. Hii inaonyesha ukomavu wa utawala bora kwani hakuna aliye juu ya sheria. The good general Rwakarabije saw the light and decided to repent and serve his country. He renounced his hutu power ideology, underwent reintegration and is now a prominent leader in rebuilding Rwanda. Unajua detractors and their supporters like you try to paint a picture that once you are Tutsi then by default you are RPF and pro-Kagame and that you are set for life. Inaonyesha ni jinsi gani hamuijui Rwanda. It is more complex than that. Amekamatwa General Rusagara ndio itakuwa some Captain? Homie please!
Umesema FDLR inaundwa na walioandika Hutu manifesto. Hutu manifesto imeandikwa 1957, assuming aliyeandika alikuwa na miaka 18 tu wakati huo, tayari leo hii atakuwa mzee wa MIAKA 75!!! You see where im coming from? Nimekuambia uwataje umeshindwa! Naomba kwa heshima na taadhima tuanzie hapo kwanza. kwanza kanusha au kubali kisha wataje hao FDLR walioandika Hutu manifesto ndio tuendelee.
cc: Kibona