1. where in the FDLR constitution, publication, any recorded speech, utterance etc, did you get that ideology of "ethnic cleansing and Hutu power"? seriously, umeipata wapi hiyo? Ukishindwa kuthibitisha then kubali wewe ndio una mipango miovu dhidi ya FDLR ndio maana unawasingizia dhambi kubwa kama hiyo.
2. Do know that The co-founder of FDLR is now HEAD OF PRISONS in your government? Inawezekana mwanzilishi wa Al-qaeda "akatubu" halafu akapewa ukuu wa majeshi nchini Marekani?
3. Nime-estimate 80%, na nadhani its actually more than that, kwa sababu theoretically kila anayempinga kagame ni FDLR. Mashtaka yote yanayowakabili watu kama FORMER AMBASSADOR Theogene Rudasingwa, FORMER ARMY CHIEF Kayumba Nyamwasa, the late FORMER SPY CHIEF karegeya, na sasa other prominent RPF members, ambao walikuwa wanapambana na FDLR juzi juzi tu hapa ni "collaboration" with FDLR hiyo hiyo.
Now kama watutsi tena extremist ones like Nyamwasa, like Rose kabuye and others wanashirikiana na FDLR, ordinary tutsis, tena watutsi waliopoteza wazazi na ndugu kwenye "genocide" kama msanii kizito mihigo, nao pia wanashirikiana na FDLR, hapo ethnic cleansing inaingiaje? Are all these tutsis stupid enough to "collaborate" with people who WANT TO ETHNICALLY CLEANSE THEM? Hebu fafanua hapa.