Check your facts....just shows that you are not a Tanzanian hata kiswahili hujui...kinyarwanda hujui...ni "Ntigushye" sio "Ntingushye"...Some character.
1. Ni kuruka kihunzi chief sio "kiunzi"
2. Na hapo kwenye "chinyarwanda" umesahau kuongezea neno "Ntingushye", sentensi nzima inatakiwa iwe: Ukuri guca muziko Ntingushye.
3. nakuongezea methali: Ukuri kuzatsinda
Mkuu naona mnakumbushana nyumban na mshkaj kdogo!
1. "nyumbani", "mshikaji", "kidogo".
2. yes, namkumbusha nyumbani kwao, na yeye ukinikuta kwenu feel free kunikumbusha kiswahili.
dada jmali mchz amekuingiza chaka vizur saana,kaongea kikwao na ww ukajickia kumjibu kwa mother language yenu ya kinyarwanda!hahaaaaa au umetumia kiswahili cha pwani hapo!hahah
1. mchz ni "Mchuzi"? au?
2. kinyarwanda nakijua cha kuombea maji, na hii sio first time kutupia tupia hapa JF, kuna shida?
Hahah hakuna shida mkuu, just be proud of your mother language usizuge unajua cha kuombea Maji wala nn!
murakoze