Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejidharau sana, so ww haustahili vizuri unataka vibaya tu..duuh, level yako ya kujishusha sio nzuriUnakuta mdada mzuri hakazii kbs ukiangalia muonekano kuanzia uso kifua tumbo paja mpaka tacall yupo vzr kitabia sio haba mpaka unajiuliza huyu kakosa nn mpaka anakuja kwangu?
Shida ni nini lkn waga!?Hivi katika hali kama hii inakuaje? Mana wanakua wanatia huruma sana, unaona kabisa angefaa uwe nae ila haiwezekani.
Kwa mtazamo wangu 2nd option dahhh!!! Mi hapana kwakweli kujitambua haihusuani na mitara au si mitara kama hajitambui ni hajitambui tu na kama anajitambua anajitambua tuNi bora uwe mke wa pili kwa mwanaune anaejitambua kuliko uwe mke mmoja kwa mwanaume mpumbavu asiejitambua. Hata wanao watakushukuru uamuzi wako wa kuwachagulia baba bora.
Imagine uambiwe uchague uzaliwe familia ya mwinyi mwenye wake wawili ama uzaliwe familia ya chikumbalaga mwenye mke mmoja
Ndio maan ya hii kauli ,Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa.
Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe.
Kuna mmoja nimemuonea huruma sana, mana ametulia af kakutana na mimi nimeshaoa. Sitaki akolee mana sina malengo nae yoyote.
Ni hivyo tu kuna wadada wawaona warembo unawaogopa kumbe wana uhaba wa kupendwa
Hata wenye uwezo nao wanasita kuoa. Wakina dada wakiona pesa wanakua na hekaheka sana. Atajifanya wife material akishapata cheti cha ndoa tu hekaheka zinaanza zinaanza kifuatacho ni mgawanyo wa mali au usipokaa kitaalamu anakudedisha kabisa halafu anaenda kwenye makongamano yao kujiita malkia wa nguvu.Sasa mtu anaoaje wakat kujihudumia mwenyewe anashindwa, peke yake tu anapiga pass ndefu ataweza wawili?
Wewe komaa tu nyeto ndoa huiweziWapo wapi hao wanawake jamani na mie nahitaji kuoa
Kwa nini nisiwezeWewe komaa tu nyeto ndoa huiwezi
wala sio kweli,Njia walizokatiza before pengine?
That's doesnt mean all men are extroverts though. Dont blame her for being introvert as she doesnt blame you for being extrovert.Hao wanawake waliotulia Mara nyingi wanakuwaga introverts. Yaani wapo Kama hawapo hivi.
Sasa mwanaume gani atatamani kuishi na mwanamke asiye mchangamfu, yaani kapoa sijui Kama Nini.
Umenielewa tofauti sanaUmejidharau sana, so ww haustahili vizuri unataka vibaya tu..duuh, level yako ya kujishusha sio nzuri
Nimetoa mtazamo wangu chief sijasema kwamba ni kweli ama lahwala sio kweli,
Inatokea tu wadada wengine wapo busy na kazi zao, hawana muda wa kwenye clabu sijui wapi nk
hata kwa wanaume wapo pia tena wengi tu na wenye hali zao nzuri ila muda mwingi wapo busy maofisini hivyo asipo mpata mdada huko kazini kwake, inakuwa ngumu kumpata mtaani; nawajua wanaume kadhaa kwenye mizunguko yangu tena wakubwa haswa 30+ wengine 40+
Nyeto imeshakuharibu mkuu, mtu Kama wewe ukiwa juu ya mwanamke huwezi kumudu hata dakika kumi bao la Kwanza, yaani ukipump tu sekunde ishirini wazungu Hawa hapa afu dushe linalala mazima😅Kwa nini nisiweze
Mwanamke Kama huyo hafai hata kwa mahusiano achilia mbali ndoaMamauzi ya kuolewa na kuvunja ndoa yite yapo kwa Mwanamke itategemeana na jinsi yeye atakavyojiweka dhidi ya muoaji.Wanaume wengi tunaangalia vitu vingi kabla ya kuoa.
Mfano,wanaume wengi huwa tuna wanawake wengi tunapiga huko nje,sasa kuna Wanawake wakigundua Mme wake kafanya hivyo nae anarudishia-sasa mwanamke wa namna hiyo si anakutafutia kesi ya mauaji.
Nyamwi255Km yupo wa ivo alietulia miaka 25 kurudi nyuma asipishane na comment yangu
usisahau nyodo zao wakishafika kwenye ndoa. pia jinamizi la 50/50 na vyama vya watetezi vimewapa jeuri mno wajajiona wako juu ya mume:Wanaume wenyewe ndo hawa kataa ndoa, wanaume hasa vijana wengi hawana ajira wana maisha ya unga unga mwana, hao walio na hela hawataki kuoa bali kuchovya chovya, maisha yamekuwa mfurugo kabisa, kijana anaoa leo baada ya miezi sita unasikia talaka yaani full tafrani