Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Hakuna mwanamke anataka hili jambo la wake wawili au watatu, changamoto idadi ya wanaume waliopo hawawezi kukidhi mahitaji ya wanawake
Kweli kabisa linapokuja suala la kushea Mwanaume hakuna Mwanamke anaeridhia hilo kiukweli.

Cc Smart911
 
Unakuta mdada mzuri hakazii kbs ukiangalia muonekano kuanzia uso kifua tumbo paja mpaka tacall yupo vzr kitabia sio haba mpaka unajiuliza huyu kakosa nn mpaka anakuja kwangu?
Umejidharau sana, so ww haustahili vizuri unataka vibaya tu..duuh, level yako ya kujishusha sio nzuri
 
Ni bora uwe mke wa pili kwa mwanaune anaejitambua kuliko uwe mke mmoja kwa mwanaume mpumbavu asiejitambua. Hata wanao watakushukuru uamuzi wako wa kuwachagulia baba bora.

Imagine uambiwe uchague uzaliwe familia ya mwinyi mwenye wake wawili ama uzaliwe familia ya chikumbalaga mwenye mke mmoja
Kwa mtazamo wangu 2nd option dahhh!!! Mi hapana kwakweli kujitambua haihusuani na mitara au si mitara kama hajitambui ni hajitambui tu na kama anajitambua anajitambua tu

Cc Smart911
 
Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa.

Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe.

Kuna mmoja nimemuonea huruma sana, mana ametulia af kakutana na mimi nimeshaoa. Sitaki akolee mana sina malengo nae yoyote.

Ni hivyo tu kuna wadada wawaona warembo unawaogopa kumbe wana uhaba wa kupendwa
Ndio maan ya hii kauli ,
Life is not fea😶🤜😊🙃

Ukiw umeoa mara nyingi unakutana na perfect woman sijui kwa nn😊🙃 lkn kpnd uko msela unakutana na pasua tuu
 
Sasa mtu anaoaje wakat kujihudumia mwenyewe anashindwa, peke yake tu anapiga pass ndefu ataweza wawili?
Hata wenye uwezo nao wanasita kuoa. Wakina dada wakiona pesa wanakua na hekaheka sana. Atajifanya wife material akishapata cheti cha ndoa tu hekaheka zinaanza zinaanza kifuatacho ni mgawanyo wa mali au usipokaa kitaalamu anakudedisha kabisa halafu anaenda kwenye makongamano yao kujiita malkia wa nguvu.
 
Njia walizokatiza before pengine?
wala sio kweli,
Inatokea tu wadada wengine wapo busy na kazi zao, hawana muda wa kwenye clabu sijui wapi nk
hata kwa wanaume wapo pia tena wengi tu na wenye hali zao nzuri ila muda mwingi wapo busy maofisini hivyo asipo mpata mdada huko kazini kwake, inakuwa ngumu kumpata mtaani; nawajua wanaume kadhaa kwenye mizunguko yangu tena wakubwa haswa 40+ wanahangaka kudate mitandaoni. Kama yupo mwanamke aliye serios below 35, aje DM naweza kumuunganisha na mmoja wapo
 
Hao wanawake waliotulia Mara nyingi wanakuwaga introverts. Yaani wapo Kama hawapo hivi.

Sasa mwanaume gani atatamani kuishi na mwanamke asiye mchangamfu, yaani kapoa sijui Kama Nini.
That's doesnt mean all men are extroverts though. Dont blame her for being introvert as she doesnt blame you for being extrovert.
 
wala sio kweli,
Inatokea tu wadada wengine wapo busy na kazi zao, hawana muda wa kwenye clabu sijui wapi nk
hata kwa wanaume wapo pia tena wengi tu na wenye hali zao nzuri ila muda mwingi wapo busy maofisini hivyo asipo mpata mdada huko kazini kwake, inakuwa ngumu kumpata mtaani; nawajua wanaume kadhaa kwenye mizunguko yangu tena wakubwa haswa 30+ wengine 40+
Nimetoa mtazamo wangu chief sijasema kwamba ni kweli ama lah
 
Kwa nini nisiweze
Nyeto imeshakuharibu mkuu, mtu Kama wewe ukiwa juu ya mwanamke huwezi kumudu hata dakika kumi bao la Kwanza, yaani ukipump tu sekunde ishirini wazungu Hawa hapa afu dushe linalala mazima😅
 
Mamauzi ya kuolewa na kuvunja ndoa yite yapo kwa Mwanamke itategemeana na jinsi yeye atakavyojiweka dhidi ya muoaji.Wanaume wengi tunaangalia vitu vingi kabla ya kuoa.
Mfano,wanaume wengi huwa tuna wanawake wengi tunapiga huko nje,sasa kuna Wanawake wakigundua Mme wake kafanya hivyo nae anarudishia-sasa mwanamke wa namna hiyo si anakutafutia kesi ya mauaji.
 
Mamauzi ya kuolewa na kuvunja ndoa yite yapo kwa Mwanamke itategemeana na jinsi yeye atakavyojiweka dhidi ya muoaji.Wanaume wengi tunaangalia vitu vingi kabla ya kuoa.
Mfano,wanaume wengi huwa tuna wanawake wengi tunapiga huko nje,sasa kuna Wanawake wakigundua Mme wake kafanya hivyo nae anarudishia-sasa mwanamke wa namna hiyo si anakutafutia kesi ya mauaji.
Mwanamke Kama huyo hafai hata kwa mahusiano achilia mbali ndoa
 
Wanaume wenyewe ndo hawa kataa ndoa, wanaume hasa vijana wengi hawana ajira wana maisha ya unga unga mwana, hao walio na hela hawataki kuoa bali kuchovya chovya, maisha yamekuwa mfurugo kabisa, kijana anaoa leo baada ya miezi sita unasikia talaka yaani full tafrani
usisahau nyodo zao wakishafika kwenye ndoa. pia jinamizi la 50/50 na vyama vya watetezi vimewapa jeuri mno wajajiona wako juu ya mume:
-dhana ya utii kwa waume imegeuzwa ushamba
-majukumu ya malezi kwa watoto yameachwa kwa wasaidizi; watoto hawana adili toka utotoni hadi makuzi
-uzungu mwingi; tumezipoteza desturi na mila za asili yetu. tunatukuza za kigeni ambazo kwazo hatuzijui na madhara yake hayakuwekwa bayana
-roho yao ya 'usaliti wa asili' sijui km nitaeleweka lkn ngoja twende pamoja. mume akizidiwa kipato, heshima, cheo na mkewe, mke atajihesabu daraja la juu na kutamka 'huyu sio wa hadhi yangu' ataanza kujiweka katika soko la wa hadhi yake
-dini zimelegeza masharti na mafunzo ya ndoa, adili na misingi ya familia. misimbe, waliozalia nyumbani, watalikiwa kupewa hadi nafasi za kiuongozi ndani za majumba ya ibada kunaondoa hofu kwa wasio utii kuendeleza uchafu wao
-serikali za dunia ya tatu zimetunga sheria kumminya na kumpoka mwanamume uhuru wa kujitetea na kuimarisha uzito wa nafasi yake katika familia. nafasi yake kujitetea mbele ya vyombo vya haki ni finyu
-sera mbovu za kumuinua mtoto wa kiume na ugumu wa kujipatia mahitaji yake. kwa jinsi ya KE ni rahisi kutimiziwa mahitaji yake hata bila kujisumbua


kwa haya; vijana wa kiume lazima waigope maana hawana ujanja kukabiliana nayo
 
Back
Top Bottom