babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mbona mada hii ni kama ya malaya anayejiuza?Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.
Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.
Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na akituma meseji sijibu. Au nikimuona anafaa kwa matumizi ya siku mbili tatu nakua nae kwa kipindi kadhaa alafu nampotezea.
Wewe ukiona sign ipi unajua hamtofika mbali? Na hua unafanya nini?
Wapo wanaume wanaojua kupenda na Kuishi na madhaifu ya wanawakeTafuta tu wale wanasuppotigi rangi nyingi 😂😂
Mada ya wadangaji na wateja wao hiiMbona mada hii ni kama ya malaya anayejiuza?
Mahusiano yenye afya huwa kila jambo linajadiliwa na wapenzi wote wawili, maana katika maisha kuna kupata na kukosa na pia siku zote siyo jumapili.
Kwa hiyo siku mwanaume kakosa kwenye mihangaiko yake ananuniwa, simu hazipokelewi na msg hazijibiwi!
Ndonikasema mada hii inahusu wauzaji na wateja wao, haihusu wapenzi.
Subiri hutaamin 😂😂😂Wapo wanaume wanaojua kupenda na Kuishi na madhaifu ya wanawake
Km namjali namuheshimu namfanyia kilakitu kizuri why asinidekeze ndo mapenz hayo 😂😂
Rangi imenisalitiNatafuta mpenzi, awe mrefu mweusi.....
Natafuta mpenzi, awe mrefu mweusi.....
Naona hatujaelewanaSubiri hutaamin 😂😂😂
Mwanaume ambae hataki a strong woman huyo hana haja na ww kwenye future yake trust me or not.
Au ww unaongelea mtu anae abuse wanawake? Huyo hakubaliki
25Una miaka mingap kwanza
Kwamba waliooa hawatongozi/ hawaanzishi mahusiano mapya?Ukioa mambo haya huhangaiki nayo
Gold diggerKuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.
Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.
Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na akituma meseji sijibu. Au nikimuona anafaa kwa matumizi ya siku mbili tatu nakua nae kwa kipindi kadhaa alafu nampotezea.
Wewe ukiona sign ipi unajua hamtofika mbali? Na hua unafanya nini?
Mkuu siku hizi social media ni sehemu nzuri sana ya kujua akili za msichana. Picha anazo-post zikoje, caption anazoandika na spelling zake na mara anazo-post kwa siku au wiki, ni njia nzuri sana ya kumtambua.Hata kama anarara kwako kira siku😂😂
unaazishaje wakati unayo ,labda ununue ukioa huwezi kuwa ushawishi wa mdomo mkuuKwamba waliooa hawatongozi/ hawaanzishi mahusiano mapya?
Ukiona anapenda nyimbo za Zuchu au anayependa kufanya yaliyoimbwa kwenye wimbo huo?Mii nikiona mdada anapenda nyimbo za zuchu tuu aaaaah hapana View attachment 3063823
Ni ukweli mtupuMkuu siku hizi social media ni sehemu nzuri sana ya kujua akili za msichana. Picha anazo-post zikoje, caption anazoandika na spelling zake na mara anazo-post kwa siku au wiki, ni njia nzuri sana ya kumtambua.
Kwamba waliooa hawana ushawishi wa mdomo au ndio ushawishi pekee walionao na hauhitajiki?unaazishaje wakati unayo ,labda ununue ukioa huwezi kuwa ushawishi wa mdomo mkuu
Mdomo watu hawaelewi sikuhizi