Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Yaliyoimbwa mkuu...Ukiona anapenda nyimbo za Zuchu au anayependa kufanya yaliyoimbwa kwenye wimbo huo?
Unatuma na ya kutolea lakini haji, je utaendelea kumpenda mtu muongo muongo?
Walichokutenda sio poa, naona kila uzi wenye kuumizwa lazima dada zetu wahusike. Pole mkuu.Nikigundua Demu ni mpare
Aina yake wanafaa tu kwa matumizi ,KAMA ANAFAA LAKINI kwa matumiziNikisikia tu ananitajia maneno yenye herufi nne''hela'' au ''pesa'' akili inaniambia kituo kinachofata tunashuka
Hivi mmeshahalalisha biashara ya kubadilishana wewe unampa mbunye yeye anakupa pesa eeh?Nikianza story za pesa yeye ananisimulia matatizo ya kwao, simu nyingi zisizokuwa na umuhimu anakumbushia kupewa mbunye.!!
Huyo baba jeni bye bye atafute wacheza porno wenzie wa bei za jioni 🤣🤣🤣
Dada zako hawajui wanataka nini alafu ving'ang'aniziWalichokutenda sio poa, naona kila uzi wenye kuumizwa lazima dada zetu wahusike. Pole mkuu.
Kaka mkubwa maisha yako hivyo ss hivi, mwanaume anataka kitu ambacho hawezi kupewa na mama yake, na mwanamke naye anataka Pesa.Hivi mmeshahalalisha biashara ya kubadilishana wewe unampa mbunye yeye anakupa pesa eeh?
Kama umeoa na unataka ushawishi wa mdomo ,basi lazima udondokee kwenye kichwa Cha Uzi huu......... Mlipe akupe imeishaKwamba waliooa hawana ushawishi wa mdomo au ndio ushawishi pekee walionao na hauhitajiki?
Huo ushawishi unaotakiwa waliooa hawana?
Hamna wanaume wanaovutia kwa wanawake kuliko waume za watu
Quid pro quoHivi mmeshahalalisha biashara ya kubadilishana wewe unampa mbunye yeye anakupa pesa eeh?
Kwani na yeye hakupi mahanjamu unayoyafurahia kwenye tendo?
HahahahahaKaka mkubwa maisha yako hivyo ss hivi, mwanaume anataka kitu ambacho hawezi kupewa na mama yake, na mwanamke naye anataka Pesa.
Kila mwanamke ana price tag yake sema kuna anyeiomba direct na indirect 😹😹😹
😹😹😹 Mahanjamu kwa wanawake sio kipaumbele chetu, pesa ndio hufanya mahanjamu yanoge.!!Hivi mmeshahalalisha biashara ya kubadilishana wewe unampa mbunye yeye anakupa pesa eeh?
Kwani na yeye hakupi mahanjamu unayoyafurahia kwenye tendo?
😹😹😹 samalekoHahahahaha
Eti umejenga mwenyewe?Kuna mwanamke aliniuliza "una nyumba?". Nikamwambia ndiyo.
Akaniuliza "Umejenga mwenyewe?"
Nikasema ndiyo.
Akasema wewe una kiburi sana, ulitakiwa kusema umejenga na Yesu. Hakuna anayejenga nyumba mwenyewe bila Yesu.
Nikasema makubwa. Mimi nilifikiri anauliza kama kuna mtu kanisaidia pesa ya kujenga nyumba yangu. Nikamkimbia hapohapo.
Ila we jamaa unachekesha sana 🤣Bora huyo akiwa free...
Je huyu wangu mie Zu chuu chu chuuu
Ety haji...... AhahahIla we jamaa unachekesha sana 🤣
Pokea simu chapNatafuta mpenzi, awe mrefu mweusi.....
Vijana kataeni ndoa tu aseee kuwa tajiri na mapenzi kwa sasa haiwezekani kabisa😁😁