Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

😂🤣
 

Toeni pesaa acheni maneno maneno… mwanaume anatoa hela anapopenda hiyo ipo wazi

Nb:
sizungumzii kuhonga hapa namaanisha kumsaidia mtu wake kwa upendo na mwanaume anaekuhonga ili apate kitu anajulikana na anaetoa kwa upendo anajulikana pia..
 
mtu chake tafuta chako
 
Wewe ni pacha angu… ukutane na first born utaenjoy sana.. maana amezoea kudekeza wadogo zake
Kabisa mapenz hayataki ubabe Kila wakati kwakweli nisipodekezwa hata najua napendwa Huwa sifurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…