Vipimo 3 vibovu wadada tunavyotumia kupima upendo na usiriasi wa mwanaume

kama angalau analipia chakula na nauli hana shida si lazima akupe pesa!
Hapa umeongea nn sasa? Hivyo vyakula na nauli siyo pesa??

Kwani huwezi kumpenda mtu bila kuhusisha mali na pesa?!
 
Kumbe hii ni fekero ya Idd makengo[emoji23]
 
[emoji3] eti wa kibongo, looh
 
Kuna kipimo kingine cha hovyo huwa wanatumia eti kutaka kujua kama umeoa/una mtu mwingine.
Anakupigia usiku kuanzia saa 5 na kujiongelesha muda mrefu
Hehehe wanaume ni wajanja Sana nyinyi. M2 Mpk aje kugundua kuwa ni mume wa m2 Basi ni ameshaliwa
 
Tukiwaomba papuchi wanajua haupo serious! Na sisi tukinyimwa tunajua Kuna mtu anapewa!.. hapo ndipo kinapoumanaga..[emoji23]

Ila hii dunia bila changamoto hatuendi!
noma sana mze wngu, na anaeza akakupa chap ukamwona mbn km cheche iv [emoji1][emoji1]
 
Sasa mwanaume akikuoenda ataachaje kukupa pesa bwana...mwanaume asiekupenda hakupi hela bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…