Vipindi vya dini katika shule za msingi na Sekondari za Serikali vifutwe

Mtoa mada kama unatolea hoja shule za vijijini upo sahihi kwa asilimia elfumoja (1000%)
 
Natole hoja kwa shule zote, za mjini na vijijini.
Mtoa mada kama unatolea hoja shule za vijijini upo sahihi kwa asilimia elfumoja (1000%)
 
Huo ni mchango wa mtu ambae hana dini sizani kama huwa unaenda kumwabudu Muumba wako wewe bila shaka ni muumini wa vit vilefu wewe
Kwanini mnalzimisha mtu kuwa na dini? Ingependeza kama kila mtu akawa free kuamini kivyake.
Vipindi vya dini viwepo lakini isiwe kwa kulazimishwa.
 
Kasome objectives za education of secondary au primary education
 
Kukichunguza kitu Ina maana kuujua undani wa hicho kitu mfano historia ya dini, dhumuni la kuanzishwa kwa dini, mapungufu yaliyo katika dini na faida zake Kama dini ili Mwisho wa siku penye kasoro parekebishwe ili kuifanya dini kuwa na usawa au ukamilifu.na sio kwamba kila kitu chenye kasoro tunapaswa kuitupa la hasha Bali tunapaswa kurekebisha hizo kasoro na kukifanya kuwa sawa
 
Yah! Ni lazima pakosolewe pale palipo kosewa kwa sababu dini ni matokeo ya uanzishwaji na wanadamu wenyewe na siku zote Cha mwanadamu hakina ukamilifu
 
Yaani mtu aseme dini hii imetoka kwa Mungu ila hapa pamekosewa, naparekebisha.

Sasa hapo nani Mungu na nani kiumbe?

Nani aliyekamilika na nani mwenye mapungufu?

Nani aliyepatia na nani aliyekosea?

Nani mwenye elimu na nani mjinga?
Hakuna dini iliyotoka kwa Mungu hayo ni mahaba niuwe ya Baadhi ya watu tu dini zote ni kazi ya mikono na fikra za mwanadamu yeye mwenyewe kwa sababu kazi za fasihi zote za dini zimeandaliwa na mwanadamu mwenyewe hapa hapa duniani
 
Sawa kabisa
 
Hakuna dini iliyotoka kwa Mungu hayo ni mahaba niuwe ya Baadhi ya watu tu dini zote ni kazi ya mikono na fikra za mwanadamu yeye mwenyewe kwa sababu kazi za fasihi zote za dini zimeandaliwa na mwanadamu mwenyewe hapa hapa duniani
Hapana mkuu....Quran ilishushwa
 
Kupiga mawe wanawake wanaozini mpaka kufa , jino kwa jino , upanga kwa upanga saa hizi Kuna mahakama unaweza kumfungulia mshitakiwa wako kesi kuliko kujichukulia sheria mkononi
 
Wasioamini Mungu(atheists) huwa hawana mafundisho yoyote, labda ungesema waruhusu waganga wa jadi na matambiko.
Kama nchi Ni ya demokrasia basi waruhusu mafundisho ya atheists (wasioamini Mungu) pia kuwepo masculine.....ili kuwe Na usawa
 
Kwanini mnalzimisha mtu kuwa na dini? Ingependeza kama kila mtu akawa free kuamini kivyake.
Vipindi vya dini viwepo lakini isiwe kwa kulazimishwa.
Yaan hata nashindwa kuelewa.
 
Hapana mkuu....Quran ilishushwa
Hata kama tukiamua kukubali kuwa ndio hivyo bado kuna nafasi sasa ya kutumia akili zetu kuielewa ndiyo maana kuna ma Imamu. Najua ukweli huwa haujipingi so huna haja ya kuogopa uchambuzi.

Lakini pia ipo haja ya kuupata muktadha wa zama za kabla ya qurani [taurat/injil] wakati wa quran na baada ya quran ndio maana kuna vitu kama hadithi broh. So tukisema kurekebisha tuna maana kurekebisha hata uelewa kwa yale ambayo yapo sio kufuta kilichopo. Ni kama kutimiliza fulani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…