Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

[emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa chako kinafanana na mdada mmoja tulipanda pamoja KIA alikuwa na wenge balaa, hajui kufunga mkanda wala kufungua.
Kimbembe kilikuwa wakati wa kupaa alitamani aombe kushushwa[emoji23] nilipata kazi ya kumtuliza sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna mtu alipiga magoti Amsterdam wakati wanaunga ndege waende switz. Haya ni maneno waliokuwa karibu walimsikia akisema.
"eh baba! ushukuriwe kwa kunifikisha huku juu mbinguni baba! duniani dhiki na shida nyng baba! Mweh ndaga mwalafyale mweh"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Panda kia to dar, Arusha inatua Precision air lkn ni ghali sana ukilinganisha na ukichukua shuttle kwenda kupandia kia kwa 10k.
Vilevile bei za ndege sio fixed, ingia online uchague www.airtanzania.tz au www.precisionair.com
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyakyusa?[emoji23][emoji23][emoji23]
kuna mtu alipiga magoti Amsterdam wakati wanaunga ndege waende switz. Haya ni maneno waliokuwa karibu walimsikia akisema.
"eh baba! ushukuriwe kwa kunifikisha huku juu mbinguni baba! duniani dhiki na shida nyng baba! Mweh ndaga mwalafyale mweh"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…