and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Nipo Aussie toka 26 September 2019Hahahaaa vipi ushaondoka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Aussie toka 26 September 2019Hahahaaa vipi ushaondoka?
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...
baada ya gradu yangu chuo.Tukarudi mkoa na maza. Fastjet ndo imeanza.Nı mara yetu ya kwanza wote.
1. Mama anataka kukaa akakuta juu ya siti sehemu ya mizgo kuna mtu kashaweka wake.Akatia,"wee kondaa,we kondaa wéeh,hebu njoo kwanza"
2. Nikajaribu kwenda choóni japo sijabanwa alimradi tu nione pakoje
3.Facebuk page yangu iliomba poo. Mara checkin in at JKİ Airport. Mara nitupie picha alimradi kila mtu ajue.
4. Tulivofika madreva tax wakaanza kututukana eti "hamna lolote nyie mtakuwa fastjet tu" hapo kisa ni baada ya wao wanatugombania sie hatuna time tunaenda kwny daladala.
5. Jioni napokea simu toka kwa mjomba: "ah mjomba nimeamini ushamba mzigo wa mwiba".Nkamuuliza kwanini? Akasema,"leo sina raha. mama yako kutwa nzima anantambia kwny simu kisa kapanda ndege"
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3]Ilipofika futi 30,000 juu ya usawa wa bahari,nikajaribu kuchungulia dirishani,kwakweli kwa ule umbali tuliokuwepo,nilijiuliza hivi kutoka Dar hadi Mwanza mbona mabasi ni mengi sana,huku ninachotafuta ni nini hasa...!
Huku tunapiga shule. Ukizidiwa unapiga punyere a.k.a selfie. Ukibahatisha upate wafilipino
upo nchi gani?? kwani hakuna machangu huko?Huku tunapiga shule. Ukizidiwa unapiga punyere a.k.a selfie. Ukibahatisha upate wafilipino
Niahakuambia. Once marine always marine. Hahahaha
Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...
Mie mbona sitasahau,,,,,,,,,,
cku iyo nilijipodoa kama naenda harusini kufika airport parfume yng ikawekwa kwny dustibini niliumia sana.............
nilipoingia ndani sijui ni uoga nikaita air host aje kunifunga mkanda kasheshe wkt wa kushuka mkanda ukanishinda kufungua ikabidi jirani yng kk mmoja anisaidie..
Mimi sikumbuki vizuri,ila nina zaidi ya masaa laki moja hewani
hahaaa!!,huyu kijana na yupo vizuriNiahakuambia. Once marine always marine. Hahahaha
kuna mtu alipiga magoti Amsterdam wakati wanaunga ndege waende switz. Haya ni maneno waliokuwa karibu walimsikia akisema.
"eh baba! ushukuriwe kwa kunifikisha huku juu mbinguni baba! duniani dhiki na shida nyng baba! Mweh ndaga mwalafyale mweh"
Tokea nimeanza kusoma huu uzi nimepata experience sana na shemeji yenu namkamata kwamba nimewahi kupanda ndege kumbe hollAh...
Sasa mniambie ndege ipi ya bei rahisi kutoka arusha to dar ,dar to mwanza, dar to mbeya..
Nikimaliza hizi route niazne kutoka nnje
ATC mkianza msitusahau Katavi (uwanja wa ndege upo) MZee wetu alijitahid akatujengea japo ndege ndo haziji kwa wingi kama tulivotarajia
Wow! I wish na mimi nipande kwa mara ya kwanza mwaka ujao wa fedha! Make kwa sasa hata nauli ya fast jet sina
kuna mtu alipiga magoti Amsterdam wakati wanaunga ndege waende switz. Haya ni maneno waliokuwa karibu walimsikia akisema.
"eh baba! ushukuriwe kwa kunifikisha huku juu mbinguni baba! duniani dhiki na shida nyng baba! Mweh ndaga mwalafyale mweh"